Mradi huo ukikamilika utawanufaisha wananchi wa kijiji cha Gwata (Kibaha), Mwetemo (Chalinze), Mkupuka (Kibiti) na Mbwara ...
Banduka ambaye ni mzaliwa wa Kijiji cha Mruma, Tarafa ya Ugweno, Wilaya ya Mwanga, Mkoa wa Kilimanjaro, amezikwa leo Jumatano ...
Wito huo umetolewa na Rais wa Chama cha Wakunga Tanzania (TAMA ... Rais huyo alikuwa akizungumza katika mafunzo ya huduma za dharura kwa wakunga kutoka katika zahanati, vituo vya afya, hospitali za ...
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Annamringi Macha, amesema ucheleweshaji wa ujenzi wa barabara hiyo unatokana na kutokuwekwa kwenye bajeti ya Serikali. Hata hivyo, viongozi wa mkoa wamekuwa wakitoa maagizo ...
Akizungumza leo Februari 10,2025 wakati wa mkutano na wakuu wa shule za sekondari zilizopo Manispaa ya Temeke, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam ... Kwa upande wake Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Sixtus ...
Maganja amesema TAWA imekuwa na utaratibu wa kurejesha faida zinazotokana na shughuli za uhifadhi kwa jamii zinazozunguka maeneo ya hifadhi zilizo chini ya usimamizi wa taasisi hiyo, na kwa Mkoa wa ...
Takribani wakazi 750 wa zamani wa visiwa hivyo, jamaa na watu wengine walikusanyika katika maandamano hayo ya kila mwaka yaliyofanyika mjini Nemuro katika mkoa wa kaskazini mwa Japani wa Hokkaido ...
Mkutano wa kilele wa viongozi wa nchi za Mashariki na Kusini mwa Afrika ulioanza ... uchimbaji madini katika msukumo kuelekea mji mkuu wa mkoa wa Kivu Kusini, Bukavu, na kukiuka usitishaji ...
Siku ya Ijumaa, mawaziri wa mambo ya nje wa kambi mbili za kikanda tayari walijaribu kukubaliana. Ili majadiliano haya yafanikiwe, ofisi ya rais wa Kongo tayari imetangaza madai yake: kusitisha ...
Makenga na waasi wake walichukua tena silaha, wakiteka maeneo katika mkoa wa Kivu Kaskazini. Mapatano kadhaa ya kusitisha mapigano kati ya M23 na mamlaka za Congo yalishindwa, na mwaka jana hakimu ...
Al-Kheetan amesisitiza kuwa wale watakaopatikana na hatia ya vitendo hivyo wanapaswa kuchukuliwa hatua kali za kisheria. Matakwa ya kuachiliwa mara moja na bila masharti OHCHR imesisitiza kuwa ...
Wakati jeshi la Israeli lilipomaliza kujiondoa mwishoni mwa wiki kutoka kwenye ukanda muhimu wa usalama huko Gaza ambao ulikuwa umekata eneo hilo katika sehemu mbili, mashirika ya kibinadamu ya Umoja ...