Hii leo tunaangazia mfumo wa bima ya afya. Japani ina mfumo wa bima ya afya ya umma ambapo fedha zinazokusanywa kutoka kwa kila mtu zinatumiwa kuwasaidia wale waliopata majeraha au kupata magonjwa.
Pia unaweza kutafuta taasisi za tiba katika tovuti za Shirika la Taifa la Utalii la Japani na Wizara ya Afya, Kazi na Ustawi wa Jamii. Taarifa hii ni sahihi hadi kufikia Machi 13, 2025.
Watu wanao changia damu mara kwa mara wana uwezekano mkubwa wa kuwa na mabadiliko ya (jeni) vinasaba katika damu yao, mabadiliko ambayo yanaweza kupunguza hatari ya kupata saratani, unaeleza utafiti.
The company said, “These outstanding results enabled another year of guidance achievement and reflect Afya‘s (AFYA) consistent growth and operational excellence. This consistency added to ...
Try Now>> See the top stocks recommended by analysts >> Read More on AFYA: Questions or Comments about the article? Write to [email protected] Afya NewsMORE Related Stocks Indices Commodities ...
JUZI Wizara ya Afya ilitoa mwongozo kwa wasafiri kutokana na mlipuko wa ugonjwa wa homa ya nyani kama ilivyotangazwa kuwepo kwa ugonjwa huo nchini. Kwa mujibu wa wizara hiyo, mwongozo huo namba 16 ...
Tanzania na Japan kupitia Shirika lake la Maendeleo (JICA), zimetiliana saini mkataba wa msaada wa shilingi bilioni 27.3 kwa ajili ya kuboresha sekta ya afya nchini. Taarifa ya Wizara ya Fedha imesema ...
Mkurugenzi wa Huduma za Msaada wa Kisheria wa Wizara ya Katiba na Sheria, Ester Msambazi, amesema katika kipindi cha maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani, wizara imepokea jumla ya migogoro 677, ...
Wizara ya Afya imewahimiza wananchi kuchukua tahadhari dhidi ya ugonjwa wa Mpox kwa kuepuka kushiriki vitu vya binafsi kama nguo, mashuka na blanketi vilivyotumiwa na mtu mwenye dalili za ugonjwa huo.
Akizungumza katika hafla ya kusaini mkataba huo, Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Dk Natu Mwamba amesema utekelezaji wa mradi huu utaboresha kwa kiasi kikubwa upatikanaji wa huduma bora za afya hususani ...
Profesa Mohamed Janabi, ametangazwa rasmi kuwa mmoja wa wagombea watano kwa nafasi ya Mkurugenzi Mkuu wa Kanda ya Afrika wa Shirika la Afya Duniani (WHO). Taarifa hiyo imetangazwa rasmi katika mtandao ...