Tanzania ni nchi yenye rasilimali mbalimbali na moja ya rasilimali hizo ni Ardhi. Vijana wakitanzania wanatumia rasilimali hii kwa usahihi? Sikiliza Haba na Haba hapa ...
Maelezo ya picha, Ikiwa hautaupa udongo fursa ya kupona na ikiwa unauharibu mara kwa mara, uzalishaji wa kilimo hautawezekana katika udongo huo. 27 Oktoba 2022 Wakulima walikuwa wakizika barafu ...