Rais Dk. Samia Suluhu Hassan. Rais Dk. Samia Suluhu Hassan ameiagiza Wizara ya Nishati kufanya mapitio ya sera ya usafirishaji wa mafuta nchini ili kuyawezesha makampuni yanayosambaza mafuta ukanda wa ...
Tamasha la kuongeza ufahamu wa hali ilivyo mashariki mwa DRC na kuchangisha fedha kwa ajili ya watoto ambao ni wahanga wa vita kati ya jeshi na M23. Hatua hii ya kutoa misaada ilichochea hasira ya ...
WIZARA ya Afya imesema watu wawili wamethibitika kuwa na ugonjwa wa Homa ya nyani nchini. Taarifa ya Waziri wa Afya Jenista Mhagama jana ilisema wizara ilipokea taarifa za wahisiwa hivyo kuchukua ...
From its origins in a garage to becoming one of the most recognisable symbols in the world, explore the story behind the iconic Apple logo design. Apple is a company that has changed the technology ...
In December 2023, Morant found himself embroiled in controversy when he did the "Rock Ya Hips" dance in New Orleans. Many fans assumed the dance was a gun celebration, while it was actually a ...
KWA sasa kuna kelele nyingi kuhusu Yanga kuifunga Simba mara nne mfululizo, lakini kama hujui ni, Simba iliwahi kuhenyeshwa kwa miaka mitano ikicheza mechi 12 mfululizo bila kuonja ushindi wowote ...
kupitia Mradi Mradi wa Connect for Culture Africa (CfCA), umeonesha ongezeko la uwekezaji kwenye sekta ya utamaduni hivyo kuchochea ukuaji katika sekta hiyo. Kwa mujibu wasilisho la Utafiti ...
Simba nao wamemaliza kikao chao na Wizara ya Utamaduni, Sanaaa na Michezo huku ikikana ajenda ya mchezo dhidi ya Yanga kuzungumzwa kwenye mkutano huo.
HATIMAYE viongozi wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), na wale wa Bodi ya Ligi (TPLB) wamemaliza kikao chao na wizara ya Utamaduni Sanaaa na Michezo chini ya Waziri Palamaganda Kabudi.
Jerry Silaa aliwateua wajumbe sita wa bodi hiyo kabla ya sekta hiyo kuhamishiwa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo. Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Profesa Palamaganda Kabudi ...
Uhusiano wa binadamu na asili uko katika hali ya hatari, ameonya Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa António Guterres katika ujumbe wake kwa Siku ya Kimataifa ya Wanyamapori leo Machi, 3. Akisisitiza kuwa ...
VIJANA wa kike wameshauriwa fedha wanazopata watumie kufanya uwekezaji ili kuwajengea uwezo wa kujitegemea kwa ajili ya maisha yao ya baadaye. Ziana Mlawa, Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu ...