Nchini Mali, ushuru mpya wa huduma za simu ulianza kutumika mnamo Machi 5. Serikali sasa inakata 10% ya gharama ya kila nyongeza ya salio ya simu. Kwa kila uhamisho wa pesa kupitia simu ya mkononi ...
(Sun) Crystal Palace wako kwenye mazungumzo yaliyofikia kiwango cha juu kuhusu mkataba mpya na kiungo wa kati wa Uingereza Will Hughes, 29, ambaye mkataba wake unamalizika msimu wa kiangazi.
Uimbaji wa Deft haukuwa mpya kwenye wavuti, lakini ushiriki wa mtumiaji ulikuwa mpya. Canon Rock iliunda "uwiano kati ya wasanii" ambao ulifungua milango kwa watu kuonana kama washirika wabunifu ...
The table above is the complete Zanzibar Ramadan Calendar 2025. Here you can see the Sehri timing and iftar timing in Zanzibar from the first to the last Ramadan fasting day. The Islamic and Gregorian ...
LONDON, ENGLAND: BOSI mpya atakayesimamia usajili Arsenal, Andrea Berta yupo tayari kumvuta kikosini Bruno Guimaraes ikiwa ni sehemu ya kuunda upya safu ya kiungo ya timu hiyo na kuleta watu wa maana.
Wakati Waislamu kote ulimwenguni wanapokusanyika kuadhimisha mwezi mtukufu wa Ramadhani, wengi wao wanafanya hivyo wakiwa na hofu, hofu ya kubaguliwa, kutengwa, na hata vurugu.” Amesema Katibu Mkuu wa ...
Wizara ya Afya ya Zanzibar kupitia Wakala wa Bohari ya Dawa, imeingia mkataba na Kampuni ya Hainan International Limited kwa ajili ya ujenzi wa ghala la kisasa la kuhifadhia dawa na vifaatiba. Chama ...
Na Winfrida Mtoi Simba Queens na Yanga Princess kesho Machi 18,2025 zinashuka dimbani katika mchezo wa Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania Bara, kwenye Uwanja wa ...