Taasisi ya dini ya Kiislamu ya Al-Hikma Foundation imetangaza kuwalipia mahari vijana 200 kutoka nchi za Tanzania na Burundi ...
Waziri Mkuu wa Japani Ishiba Shigeru amekiri kuwa ofisi yake ilitoa vocha za zawadi kwa ofisi za zaidi ya wabunge wapya kumi wa chama chake kikuu tawala cha Liberal Democratic, LDP mapema mwezi huu.
Na hiyo ni nzuri kwa Ukraine." Pia alipendekeza kuwa mpango wa madini ulipendekezwa kwanza na Zelenskyy mwaka jana kama sehemu ya "mpango wake wa ushindi." Trump alitumia hafla ya Ikulu ya nchi ...
Maelezo ya picha, Baada ya kushinda bahati nasibu aliyonunua kwa pesa za wizi, mwenye kadi aliomba kugawana zawadi ya bahati ... Zaidi ya hayo, pesa hii ni fursa nzuri kwa watu hawa wawili kuanza ...
Kwa sababu hii, wanaanga hufanya mazoezi masaa mawili na nusu kila siku wanapokuwa kwenye kituo cha anga za juu na hujitahidi kula lishe nzuri. Kwa sababu hakuna nguvu ya mvutano kwenye anga za ...
Mke wa Mbunge wa Jimbo la Kibaha Mjini, Selina Koka, ametoa msaada wa sabuni kwa wodi ya wazazi katika Hospitali ya Wilaya ya Lulanzi, ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani ...
Dabi ya Kariakoo hutoa fursa nzuri kwa wajasiriamali wa hoteli ... Mashabiki wanakuja kununua jezi mpya ili kuonyesha mapenzi kwa timu zao. Wengine wananunua kwa ajili ya watoto na kuna wale ...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Pwani linamshikilia Tanganyika Masele (32), mkazi wa Kisangile, Kata ya Marui, Wilaya ya Kisarawe, kwa tuhuma za mauaji ya mke wake na mtoto wao. Kamanda wa Polisi Mkoa wa ...
Changanya na pesa za mke wa Jamie Vardy, mrembo Rebekah, weka pamoja. Unaambiwa hivi, bado hawamfikii na wameachwa kwa mbali sana. Rebekah na Coleen wamekuwa kwenye vita kali sana ya kutambiana.