Kwa upande wake, Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, amesema Tanzania itaendelea kusaidia mipango yote ya kidemokrasia ili kukomesha mapigano nchini Kongo. Ombi langu ...
Kwa mujibu wa Katiba ya CCM ya mwaka 1977 na marekebisho yake, nafasi ya kugombea urais kwa tiketi ya chama hicho iko wazi ...
Ameongeza kuwa: "Kwa niaba ya Serikali na wananchi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, napenda kuwasilisha salamu zetu za rambirambi kwa Dk Nangolo Mbumba, Rais wa Jamhuri ya Namibia, wananchi wa ...
Nao wanafunzi wa shule ya Lung’wa iliyopo wilaya ya Itilima wameipongeza Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inayoongozwa na Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa madawati hayo ambayo ...
“Kwa niaba ya Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, tunawapongeza sana wenzetu wa Prosperity Party, chini ya uongozi wa Rais wa Chama, ambaye pia ...
“Kwa niaba ya Serikali na wananchi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, napenda kuwasilisha salamu zetu za rambirambi kwa Mheshimiwa Dkt. Nangolo Mbumba, Rais wa Jamhuri ya Namibia, wananchi wa Namibia ...
Kundi la Hamas limeanza mikutano na maafisa wa Misri kujadili utekelezaji wa makubaliano ya kusitisha mapigano.
"Hatuwezi kukubali picha za kutisha tulizoziona asubuhi ya leo," Waziri Mkuu wa Israeli Benjamin Netanyahu, ambaye bado yuko Washington. Rais wa Israel Isaac Herzog, kwenye mtandao wa kijamii wa X ...
ambaye anasimamia muungano wa vikundi vya waasi ikiwemo M23. Lakini Makenga bado ni muhusika muhimu, akiwa anaonekana kuzingatia mikakati nyuma ya pazia. Amesema vita vyake visivyokoma vimekuwa ...
Temba akamuuliza. “Huyu hapa.” Mkwetu akamuonyesha kwa kidole. Temba akawa anaitazama picha ya mtu mwenye uso wa miraba minne, macho makubwa na pua iliyofura. Alikuwa na alama ya kushonwa ngozi kwenye ...
Na Esther Mnyika, Mtanzania Digital Wahandisi nchini wametakiwa kufanya kazi kwa kuzingatia maadili, nidhamu, na uwajibikaji ili kuhakikisha taaluma hiyo inatoa mchango stahiki katika maendeleo ...