Jeshi laPolisi Mkoa wa Mjini Magharibi limewataka wananchi kuitumia vyema sikukuu ya Idd el Fitr na isiwe chanzo cha kufanya ...
Waziri wa nchi, Ofisi ya Rais, Kazi, Uchumi na Uwekezaji, Shariff Ali Ashariff akizungumza katika mkutano wa Baraza la Wawakilishi Chukwani Unguja Unguja. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Kazi, Uchumi ...
Marekani inaishawishi Urusi ikubali kumaliza mzozo na Ukraine. Rais Putin wa Urusi amesema mzozo huo utakoma kwa masharti, ...
Hayo yamesemwa na Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar (BLW), Zubeir Ali Maulid, kwa niaba ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Hemed Suleiman Abdulla, wakati wa Hafla ya Iftar iliyoandaliwa na ...
Wakati kwa upande wa Zanzibar idadi yao katika Baraza la Wawakilishi (BLW) ni 29 , wanaume wakiwa 49, ni kwa mujibu wa Ofisa Uhusiano wa BLW Hamid Haji Choko. Ni mafanikio katika kufikia utekelezaji ...
Katibu wa Baraza la Usalama la Urusi Sergei Shoigu amewasili Pyongyang ambapo atakutana na kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong-un, mashirika ya habari ya Urusi Tass na RIA Novosti yameripoti leo ...
Wajumbe wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa wameonesha kupinga tangazo la kuundwa kwa serikali mbadala ya Sudan na waasi wa RSF, huku Kenya ikikanusha tuhuma za kuitambua serikali hiyo ...
Baada ya miaka miwili ya mzozo, Sudani sasa inakabiliwa na janga kubwa na baya zaidi la kibinadamu duniani. Hivi ndivyo Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limebainisha siku ya Alhamisi ...
Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limekutana leo New York Marekani kujadili mgogoro wa Mashariki ya Kati, ikiwa ni miezi miwili kamili tangu makubaliano dhaifu ya kusitisha mapigano Gaza na mpango ...
Afisa mwandamizi wa masuala ya kisiasa wa Umoja wa Mataifa leo ametoa wito kwa Israel na Hamas kurejesha usitishaji mapigano ulioharibika Gaza na kuwaachilia mateka wote waliobaki, huku mmoja wa ...