Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuhutubia na kulivunja rasmi Bunge la 12 Juni 27, 2025. Akitoa taarifa ya Spika bungeni ...
Bunge limepitisha nyongeza ya mapato na matumizi ya jumla ya Sh945.7 bilioni kwa ajili ya nyongeza kwenye Bajeti ya Serikali ya mwaka 2024/25 kutoka Sh49.346 trilioni zilizoidhinishwa Juni ...
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Kenya, Korir Sing’oei, ameipuuzilia mbali barua kutoka kwa Sekretarieti ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) inayomuunga mkono Richard Randriamandr ...