RAIS Samia Suluhu Hassan amewashukuru wananchi kwa salamu za kheri na upendo katika kumbukizi ya miaka minne tangu ...
Kanisa Katoliki limeitaka Serikali kuheshimu fani ya ualimu na kurejesha hadhi yake ikiwamo walimu kulipwa mshahara ...
CHUO cha Ustawi wa Jamii kimeahidi ujenzi wa ukumbi wa mihadhara katika kampasi yake ya Kijitonyama, Dar es Salaam, ...
Sina lengo la kumshushia mtu heshima ukweli mchungu ni lazima usemwe. Wasanii wa hip hop wa Tanzania ni vichwa kuliko ...
Agosti 18, mwaka 2023 ni siku ambayo, John Chalya,mkazi wa kijiji cha Mwamanenge wilaya ya Maswa mkoani Simiyu hatoisahau katika maisha yake, kutokana na kumpoteza mtoto wake, Nkamba John (3) ambaye a ...
KAMATI ya Ushauri ya Wilaya Missenyi mkoani Kagera (DCC), imepitisha azimio la kubadili jina la Jimbo la Uchaguzi la Nkenge ...
Kwa kauli ya viongozi wa serikali karibu wote, wanataja miundo mbinu kama sehemu muhimu ya kuhakikisha tatizo la umeme nchini ...
Marekani ndilo taifa linaloongoza duniani kuwa na wazungumzaji wengi zaidi wa lugha hiyo. Kati ya wazungumzaji bilioni 1.52 ...
KLABU ya Simba imetoa taarifa rasmi kwamba haitashiriki kwenye mchezo wa watani wa jadi uliopangwa kufanyika leo, Machi 8, ...
Mbunge wa Jimbo la Kisesa, mkoani Simiyu, Luhaga Mpina, ameiomba Serikali kupitia Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ...
Chama chake cha MPS, kinashikilia viti 124 kati ya 188 bungeni. Baada ya kuanza majukumu yao mwanzoni mwa mwezi wa Februari, wabunge hao hao mara moja watafuatiwa na madiwani wa manispaa na mikoa ...
Kiongozi mpya wa muungano wa Social Democrats bungeni, Lars Klingbeil ametoa wito wa mazungumzo ya dhati na Friedrich Merz kuhusiana na mchakato wa kuunda serikali ya muungano na chama cha ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results