Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu. MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu ameshauri serikali kuitisha Bunge la dharura kufanya ...
Lissu alisema kuwa mwaka 2020 wajumbe hao walimpitisha kwa asilimia 100 ya kura na kumwidhinisha kuwa mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ... Kwa upande wa Tanzania Zanzibar, wanaogombea ...
Muungano mkubwa zaidi wa vyama vya upinzani nchini Ujerumani umewasilisha bungeni hoja ya kubana zaidi sheria za uhamiaji ukisaidiwa na chama kinachochukuliwa kuwa cha mrengo wa mbali kulia.
Jumuiya hiyo ya BRICS inazijumuiya nchi za Brazil, Urusi, India, China na Afrika Kusini. Mapema mwaka 2024 Iran, Misri, Ethiopia na Umoja wa Falme za Kiarabu pia zilijiunga katika Jumuiya hiyo ...
Gavana Tutuba aliyasema hayo jana Jijini Dar es Salaam wakati wa kikao kazi kilichowakutanisha BoT, ZEEA, Airpay pamoja na wadau mbalimbali kutoka Taasisi za kibenki ikiwemo Benki ya Taifa ya Biashara ...
Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa, CPA Amos Makalla amesema Soko la kisasa la Chuwini litaleta Mapinduzi makubwa ya kiuchumi kwa wananchi Zanzibar ... kisasa sasa wale Zambarau ...
Helikopta kadhaa, zikiwemo za Polisi wa Hifadhi ya Marekani, Idara ya Polisi ya Metropolitan ya Washington na Jeshi la Marekani, zilikuwa zikiruka juu ya eneo la tukio katika Mto Potomac.
Shinyanga. Tumezoea kuona baadhi ya watu wakiweka urembo katika meno yao, hata hivyo wengi wao hawajui faida na athari za kuweka urembo huo. Hata hivyo, wataalamu wa afya wana mapendekezo kwa wale ...
Ikiwa tunaamini sampuli inayozunguka kwa sasa na ikiwa haitabadilika kufikia tarehe iliyopangwa kuzinduliwa, pasipoti ya pamoja kwa nchi tatu za Muungano wa Nchi za Sahel itakuwa ya kijani.
Guterres amelinganisha uraibu wa dunia kwa nishati ya mafuta na mnyama wa Frankenstein, akisisitiza madhara yake makubwa. Amebainisha kuwa baadhi ya bandari kuu za mafuta duniani ziko hatarini ...
Faida ni zipi ... Chama kinapotengeneza fomu za wagombea, watia nia huzilipia. Kwa Mkutano Mkuu kuamua kwa kauli moja kuwapitisha Rais Samia na Mwinyi kuwa wagombea wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ...
Amesisitiza kuwa Baraza lina jukumu muhimu katika kuunga mkono juhudi za Muungano wa Afrika (AU) za kupambana na ugaidi, zinazoongozwa na Afrika yenyewe kwa kutumia majawabu ya kiafrika Bi. Mohammed ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results