Majaliwa amesema wakuu hao wana jukumu la kusimamia maeneo yao kuhakikisha kampeni hiyo inaondoa changamoto za migogoro ...
Mbunge wa Mchinga, Salma Kikwete, akawataka wanaume wanaopewa likizo ya wiki moja, kutumia muda huo kuwahudumia wake zao na watoto wao, badala ya kushiriki shughuli zisizohusiana na familia ... ya ...
Fatma Ally, binti anayefanya kazi katika magari ya Tilisho Safaris, amewataka wasichana kuachana na mtazamo hasi dhidi ya ...