Kwa muda mrefu Kisiwa cha Pemba kimekuwa ngome ya upinzani, tangu uchaguzi wa kwanza baada ya mfumo wa vyama vingi kurejeshwa mwaka 1995, kisiwa hicho kilikuwa ngome ya Chama cha Wananchi (CUF).
Mwanamuziki Frida Amani 'Madam President' wakati akifanya mahojiano na Mwananchi, leo Februari 15,2025 amesema kinachofanya aandike historia kila mara kwenye muziki ni tabia yake ya ...
Hii ni kwa sababu Zanzibar inalazimika kuwekeza kwa kina katika rasilimali watu wake kama nguzo kuu ya maendeleo. Historia ya nchi zilizofanikiwa bila kutegemea maliasili, kama Singapore na Korea ...
SHEFFIELD FC ya England inatambuliwa na Shirikisho la Soka la Kimataifa (Fifa) kama klabu kongwe kuliko zote duniani ambayo ...
Tamasha la Muziki la Sauti za Busara la 22, lililoanza Februari 14,2025, hatimaye limetamatika leo Februari 16, 2025 kwa ...
HISTORIA imeandikwa katika Chama cha Demokrasia na Maendeleo ... kushuhudiwa na kila mtu aliyekuwa ndani na nje ya ukumbi. Uchaguzi katika nafasi ya Makamu Mwenyekiti Zanzibar ulirudiwa baada ya ...
Dk Mwinyi amezitaja sekta nyingine ambazo zina fursa za wwekezaji kuwa ni kilimo, mafuta, gesi na miundombinu na kuushukuru ujumbe huo kwa kuamua kuja Zanzibar kwani ziara hiyo itafungua ukurasa mpya ...
Asili ina namna yake ya kukumbuka matukio - hasa shughuli za binadamu zinazochafua mazingira, wakati mwingine huonekana ...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Hussein Ali Mwinyi amemuapisha Kamishna Mkuu Mpya wa Mamlaka ya Mapato Zanzibar (ZRA) Said Kiondo Athumani aliyemteuwa hivi Karibuni. Hafla ...
The film focuses on a series of hunger strikes organized by those incarcerated at California’s Pelican Bay State Prison, in protest of conditions in highest-security prisons. By Alissa Wilkinson ...