MATOKEO ya mtihani wa kidato cha nne Zanzibar yanaashiria changamoto kubwa na ya dharura katika mfumo wa elimu, ambayo ...
KWA miaka ya nyuma ni kitu ambacho hakuna mtu ambaye angeweza kutegemea kuona kikitokea kwa mchezaji kutoka klabu ya kawaida tu, isiyo na jina kubwa kama Fountain Gate kusajiliwa na klabu kubwa Afrika ...
SHEFFIELD FC ya England inatambuliwa na Shirikisho la Soka la Kimataifa (Fifa) kama klabu kongwe kuliko zote duniani ambayo ...
Zipo taarifa kuwa baadhi ya makada wa CCM waliokuwa wakijipanga kuwania urais kwenye uchaguzi mkuu wa 2030, hawakufurahia ...
Kutoka Februari 5, 1977, CCM ilipozaliwa baada ya kuunganisha vyama vya Tanu na ASP hadi Februari 5, 2025, ni miaka 48 iliyotimia. Ni siku 17,532 zenye matukio makubwa ya kisiasa.
ZANZIBAR: KATIBU wa Halmashauri Kuu (NEC), Itikadi Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, CPA Amos Makalla amesema soko la kisasa la Chuwini litaleta Mapinduzi makubwa ya kiuchumi kwa ...
Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa, CPA Amos Makalla amesema Soko la kisasa la Chuwini litaleta Mapinduzi ...
Rais wa Marekani amesema anataka nchi yake ichukue" umiliki wa muda mrefu "wa Gaza, na kuibadilisha kuwa" eneo la kitalii la ...
Kimsingi, CCM imeweka historia kwa kuwachagua wagombea ... Wakati hao wakiwa ‘nyota mbili’ za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, chama hicho kimemteua Dk Hussein Mwinyi (Makamu Mwenyekiti- Zanzibar) ...
Kamisheni ya Utalii ya Zanzibar na Chama cha waongoza watalii Zanzibar (ZATO) Februari 6, 2025 walifanya ziara maalumu (Fam – Trip) katika Hifadhi ya urithi wa utamaduni wa dunia Magofu ya Kale Kilwa ...
Miaka ya 1980 na hata nusu ya kwanza ya miaka ya 1990 hakukuwa na tofauti kubwa ya nguvu za kiuchumi na ufundi kati ya soka la Bara na Zanzibar. Wakati ule Ligi Kuu Tanzania ilikuwa moja, ikiitwa Ligi ...