Mkurugenzi Mtendaji mpya wa Taasisi ya Twaweza Afrika Mashariki, Anna Bwana. Dar es Salaam. Taasisi ya Twaweza Afrika Mashariki imetangaza uteuzi wa Anna Bwana kuwa Mkurugenzi Mtendaji wake mpya, ...
Waziri wa Afya Zanzibar, Nassor Ahmed Mazrui (katikati) akizungumza katika hafla ya kusaini mkataba wa makubaliano na taasisi ya Aga khan kupambana na magonjwa ya saratani kisiwani Zanzibar Unguja.
Shirika la Ndege la Precision Air Tanzania limezindua rasmi safari yake mpya ya ndege inayounganisha Dar es Salaam, Dodoma, na Iringa. Uzinduzi huo umefanyika leo, Machi 3, 2025, mkoani Iringa, ...
Profesa Kitila alitoa wito kwa watendaji wa kampuni hizo kuendelea kujifunza mifumo ya teknolojia mpya ya kidijiti ili kupunguza mawasiliano ya ana kwa ana. Ofisi ya Msajili wa Hazina inasimamia jumla ...
Kauli mbiu ya siku hii kwa mwaka huu inasema “Kufunga pengo la tahadhari ya mapema pamoja- inatufundisha kuwa katika hali hii mpya ya tabianchi ... ongezeko la joto la dunia lisizidi nyuzi joto 1.5°C.
WACHEZAJI wa timu ya taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ wamesema wako tayari kwa kuwakabili Morocco katika mchezo wa kufuzu Kombe la Dunia 2026 kesho. Mchezo huo utachezwa katika Uwanja wa Honneir, Oudja ...
Serikali imejenga shule mpya 171 na vyumba vya madarasa 3,300 kwa Mkoa wa Geita kwa kipindi cha miaka minne ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan lengo likiwa kuwaondolea wanafunzi adha ya kutembea ...
Hii inamaanisha kuwa vikosi vya pande zote viwili vitakuwa na mabadiliko, jambo linaloweza kuleta mtazamo mpya wa kiufundi kwa benchi za ufundi. Kocha wa Singida Black Stars, David Ouma alisema licha ...