Mshtakiwa Boniface Jacob ( katikati) akipiga stori na wakili wake, Peter Kibatala, baada ya kesi ya kuchapisha taarifa za uongo kwenye mitandao wa kijamii wa X, zamani ukijulikana kama Twitter ...
Mnazi huyo wa Simba ambaye kwa hasira alizokuwa nazo aligoma hata kutaja jina lake, amesema ametoka mkoani Kagera kuja kushuhudia mchezo huo lengo ni kumuona Mpanzu ambaye ndiye nyota pekee mpya wa ...
Mashabiki wa Yanga watakuwa na hamu ya kuendelea kumuona winga mpya, Jonathan Ikangalombo baada ya kuanza ... 23 katika mchezo dhidi ya Mashujaa ambao Yanga ilishinda mabao 5-0. Hadi sasa nyota huyo ...
Siku tano baada ya Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi Tabora kufungiwa, uongozi wa Tabora United umeuchagua Uwanja wa CCM Kirumba Mwanza kwa mechi yake ya nyumbani dhidi ya JKT Tanzania, Machi 7, 2025.
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa leo amesisitiza kuwa “msingi wa kweli wa ujenzi mpya na kujikwamua kwa Gaza lazima uwe msingi wa mfumo wa kisiasa ulio wazi na uliokubaliwa, si tu matofali na saruji.” ...
Yuji Iwasawa anamrithi Nawaf Salam, Waziri Mkuu mpya wa Lebanoni. Yuji Iwasawa atachukua nafasi ya mkuu wa mahakama ya Hague hadi muda wa Nawaf Salam utakapokamilika tarehe 5 Februari 2027.