Hatua hiyo ilifanyika Februari 4, 2025, ambapo kipande cha video fupi kilichowekwa kwenye mtandao wa X (Twitter) wa Rais Trump kilionyesha Katibu wa Wafanyakazi wa Ikulu ya White House, Will Scharf, ...
Kwa mujibu wa taarifa ya Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu ya Tanzania, Sharifa Nyanga, Rais Samia Suluhu Hassan anashiriki mkutano huo. Mkutano huu unafuatia kikao cha dharura cha Utatu wa ...