MAJINA ya wafanyabiashara 1,520 watakaorejea katika Soko Kuu la Kariakoo, jijini Dar es Salaam yametajwa na kutakiwa kwenda ...
HALI ya kutisha imeukumba mji wa Goma nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), baada ya maiti za watu kutapakaa katika ...
Rais wa Marekani amesema anataka nchi yake ichukue" umiliki wa muda mrefu "wa Gaza, na kuibadilisha kuwa" eneo la kitalii la Mashariki ya Kati ". Na Rashid Abdallah & Asha Juma Zaidi ya wafungwa ...
Amesema hayo, leo Februari 10, 2025 wakati akijibu swali la Mbunge wa Arusha Mjini Mhe. Mrisho Gambo alieyetaka kujua ni lini ...
Arusha. Kampuni ya Utalii ya Leopard Tours imetoa pikipiki 20 kwa Jeshi la Polisi ili kuimarisha usalama na kukuza sekta ya utalii mkoani Arusha. Pikipiki hizo zimekabidhiwa leo Ijumaa Januari 24, ...
Arusha. Ni simanzi na majonzi kwa familia ya Apaikunda Ayo (61) ambaye ni mwalimu mstaafu wa Shule ya Msingi Imbaseni aliyefikwa na mauti kwa ajali ya barabarani akiwa njiani kurejea nyumbanii kwake ...
Akitoa taarifa za mradi meneja Tanroads mkoa Dodoma, Zuhura Amani amesema mpaka sasa utekelezaji wa mradi unaendelea vizuri ambapo ujenzi wa uwanja umefikia asilimia 84. Aliongeza kuwa ujenzi wa ...
VIONGOZI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wilaya Arumeru mkoani Arusha wamehimizwa kueleza mazuri yanayofanywa na chama hicho na kuonesha jinsi chama kinavyofanya kazi katika kuwaletea maendeleo wananchi.
Ameuawa baada ya mlipuko kutokea kwenye jengo la makazi kaskazini magharibi mwa mji wa Moscow jana Jumatatu. Mamlaka zinachunguza tukio hilo kama mauaji yanayoweza kuwa ya kukusudia.
Tukio hilo liliandaliwa na mamlaka ya jiji hilo ili watu wa jiji hilo wafahamu mambo ya ... Radhia Suzuki akiwa amesimama mbele ya jengo la Yokohama Port Opening Memorial Hall ambapo tukio hilo ...
"Mkutano huu usio wa kawaida" unalenga "kujadili masuala yanayohusiana na Mashariki mwa DRC", hali ambayo "inatia wasiwasi" kufuatia kutekwa kwa siku za hivi karibuni kwa Goma, jiji kuu la mkoa wa ...
Siku tatu baada ya kuteuliwa na Mkuu wa Nchi, Félix Tshisekedi, Meja Jenerali Evariste Kakule Somo amehamia Beni, kaskazini mwa mkoa wa Kivu Kaskazini, Ijumaa hii, Januari 31. Kutokana na kuwepo ...