Miss Tanzania mwaka 2018, Queen Elizabeth Makune amesema hana mpango wa kuingia katika muziki, filamu au mitindo kama walivyofanya baadhi ya warembo waliowahi kutwaa taji hilo miaka ya nyuma.
Banduka ambaye ni mzaliwa wa Kijiji cha Mruma, Tarafa ya Ugweno, Wilaya ya Mwanga, Mkoa wa Kilimanjaro, amezikwa leo Jumatano ...
Wakati mwingine nafasi za Jeshi la Kujenga Taifa JKT zikitoka hakikisha mpambanie aende anachopita huko kinamjenga, anapaswa kuona pande zote za maisha. Kuandaa mtoto haijalishi uwe mfanyabiashara ...
Jeshi hilo limesema lengo la hatua hiyo ni kukataa na kuyazuia makundi mengine ya wapiganaji wenye silaha yanayofanya shughuli zake mashariki mwa Kongo kutumia vibaya hali ilivyo kwenye eneo hilo. ...
Aidha taarifa ya jeshi la Uganda inasema mpango huu unalenga kuzuia harakati za makundi mengine ya waasi yanayoweza kutumia fursa ya hali ya sasa kuendeleza agenda zao. Ili kuonyesha maudhui haya ...
Wanajeshi na ndege za kivita kutoka Ufaransa zimekaa nchini Chad tangu uhuru wa nchi hiyo mwaka 1960, zikisaidia kutoa mafunzo kwa jeshi la Chad. Katika hotuba yake ya mwaka mpya, rais wa Ufaransa ...
Janga la haki za binadamu katika eneo la mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) linaendelea kuzidi kuwa baya, wakati mapigano kati ya jeshi la serikali na kundi lenye silaha la M23 ...
Juhudi za kujenga taifa zinaendelea chini ya kundi la Hayat Tahrir al-Sham, lililoongoza mapinduzi. Kujenga upya uchumi wa Syria kutakuwa changamoto kubwa baada ya zaidi ya muongo mmoja wa vita ...
CONGO : RAIS wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo, Felix Tshisekedi, amewataka vijana wa taifa hilo kujiunga kwa wingi na jeshi la taifa ili kusaidia kupambana na waasi wa M23 wanaojaribu kuchukua ...
Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo imethibitisha hivi leo uwepo wa jeshi la Rwanda huko Goma, ambako waasi wa M23 wamedai kuuteka mji huo. Msemaji wa serikali ya Kongo Patrick Muyaya ...
MSHAMBULIAJI wa JKT Tanzania, Charles Ilanfya juzi Jumanne ameanza mazoezi ... KIUNGO mshambuliaji wa Simba Ellie Mpanzu, ameanza kujipata baada ya juzi kutupia bao la kwanza katika Ligi Kuu Baara, ...