NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko, amempongeza Askofu wa Jimbo Katoliki Rulenge-Ngara, Mhashamu Severine Niwemugizi, kwa maono ya kujenga Kanisa Kuu la Jimbo Katoliki hilo, ...
Simba imefika uwanjani hapo kwa lengo la kufanya mazoezi ya mwisho kabla ya mchezo huo, lakini dakika chache kabla ya saa 1:00, walitimuliwa na makomandoo hao. Kwa mujibu wa kanuni ya 45 ya uendeshaji ...
Siku ya kimataifa ya matumaini Siku ya kimataifa ya kuishi pamoja kwa amani Siku ya kimataifa ya ustawi wa mahakama Jumanne ya Machi 4, Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa limepitisha maazimio ya kuanzisha ...
Mkoa wa Kaskazini Unguja, uongozi wa Kanisa Katoliki Jimbo la Zanzibar umetaja ugonjwa uliokuwa ukimsumbua. Padri Mwang'amba alifariki dunia asubuhi ya Februari 27, 2025 akiwa kanisani hapo akitoa ...
hali yake ikiripotiwa kuendelea kudorora na kuzua hali ya wasiwasi kwa waumini wa kanisa Katoliki. Licha ya tangazo la Vatican kwamba Papa amekuwa na usiku mtulivu, imeelezwa kwamba kiongozi huyo ...
Katika kikao cha 37 cha kawaida cha Baraza Kuu la Umoja wa Afrika kilichofanyika Februari 2024, Addis Ababa, Ethiopia wakuu wa nchi na Serikali walipitisha kwa kauli moja kuingiza zao hilo kama bidhaa ...
Na bila shaka, wakati umefika wa amani Ukraine. Amani iwe ya haki, endelevu na ya kina, kwa mujibu wa Katiba ya Umoja wa Mataifa, sheria ya kimataifa, maazimio ya Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, ...
Besigye, daktari ambaye alistaafu kutoka jeshi la Uganda akiwa na cheo cha kanali, ni mwenyekiti wa zamani wa chama cha Forum for Democratic Change, ambacho kilikuwa kundi kuu la upinzani nchini ...
Sifael alibeba kibuyu chenye udongo wa Tanganyika na Khadija alibeba kibuyu chenye udongo wa Zanzibar. Udongo wa Zanzibar uliochanganywa ulitoka eneo la Kizimbani Unguja, ule wa Tanganyika ...
Hata hivyo, Antony si mchezaji wa kwanza kuchemsha kwenye Ligi Kuu England na kisha kwenda kuwa moto wa kuotea mbali baada ya kwenda kukipiga kwenye La Liga. Straika wa Uruguay alikuwa na hadhi kubwa ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results