Unguja. Zanzibar has officially launched a Waste Management Program, set to take effect on July 1, 2025, as part of the broader Greener Zanzibar and Sustainable Tourism campaign in an effort to ...
Askofu mteule wa Jimbo Katoliki la Bagamoyo, Stephano Musomba. Dar es Salaam. Papa Francis Machi 7, 2025 aliunda Jimbo Katoliki la Bagamoyo, nchini Tanzania, akimteua Askofu Stephano Musomba kuwa wa ...
Siku ya kimataifa ya matumaini Siku ya kimataifa ya kuishi pamoja kwa amani Siku ya kimataifa ya ustawi wa mahakama Jumanne ya Machi 4, Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa limepitisha maazimio ya kuanzisha ...
Ujumbe wa ECOWAS ulitembelea Guinea-Bissau kati ya Februari 21 na 28 kusaidia kutatua mzozo wa kisiasa kuhusu kupanga tarehe ya uchaguzi wa urais. Katika taarifa kwa vyombo vya habari iliyotolewa ...
Enzi za Padri Anselmo Mwang'ambwa enzi za uhai wake. Unguja. Wakati mwili wa Padri Anselmo Mwang'amba (77), ukitarajiwa kuzikwa Machi 4, 2025 katika Kanisa la Kitope, Mkoa wa Kaskazini Unguja, uongozi ...
Viongozi mbalimbali wa Ulaya wamefanya ziara nchini Marekani wiki hii ili kujaribu kuutafutia suluhu mzozo kati ya Urusi na Ukraine ambazo zimeendelea kushambuliana vikali. Baada ya Rais wa ...
Baraza la Taifa, ambalo ni sawa na Bunge la Seneti nchini Algeria, limetangaza siku ya Jumatano Februari 26 "kusitishwa kwa uhusiano wake" na Bunge la Seneti la Ufaransa, ili kupinga ziara ya rais ...