Wizara ya Madini imefanikiwa kukusanya shilingi bilioni 521 katika kipindi cha Julai 1, 2024, hadi Desemba 31, 2024. Hii ni sawa na asilimia 52.2 ya lengo la kukusanya shilingi trilioni 1 kwa mwaka wa ...
Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limesaini Mkataba wa makubaliano ya Utoaji Huduma za Afya ya Akili na Hospitali ya Taifa ya Afya ya Akili Mirembe. Hayo yamebainishwa leo Jijini Dodoma ...
Watalaam wa afya barani Afrika ,sasa wamesisitiza haja ya serikali za ukanda kuwekeza zaidi katika mifumo ya afya ambayo inaweza kutambua kwa haraka na kudhibiti magonjwa ya mlipuko. Hii inajiri ...
Fintel reports that on January 31, 2025, Citigroup downgraded their outlook for Afya (NasdaqGS:AFYA) from Neutral to Sell. Analyst Price Forecast Suggests 20.71% Upside As of January 29 ...
Wafanyakazi hao watatoa msaada wa kiufundi na vifaa kwa Wizara ya Afya ya Uganda, WHO imesema katika taarifa iliyotolewa mjini Kampala. Wizara ilitangaza mlipuko wa Ebola siku ya Alhamisi baada ya ...
Citi analyst Leandro Bastos downgraded Afya (AFYA – Research Report) to a Sell yesterday and set a price target of $15.00. The company’s shares closed yesterday at $16.84. The word on The ...
Jasmin. SOMA: Wizara ya afya yaingia ushirikiano afya ya uzazi Dkt. Jasmin ameongeza kuwa hatua hii inachangia matatizo mbalimbali, ikiwemo wanawake kuharibu vizazi, kushindwa kupata ujauzito, kupata ...
DODOMA: Waziri wa Afya, Jenista Mhagama, amesema kuwa serikali itaendelea kusimamia usalama wa afya za Watanzania kwa kufuata miongozo ya usimamizi wa afya nchini. Akizungumza na vyombo vya habari ...
Kenya Jan 31 – Medical Services Principal Secretary Harry Kimtai was at pains to explain the circumstances surrounding a complaint against 61-year-old Grace Njoki who dramatically stormed Health ...
Dar es Salaam. Wizara ya Afya Uganda, imethibitisha mlipuko wa ugonjwa wa virusi vya Ebola, ‘Sudan Ebola Virus Disease’ (SVD) jijini Kampala baada ya sampuli kuthibitishwa na maabara tatu za kitaifa.
Serikali ya Japani inasema kuwa DRC iliomba dozi milioni 3.05. Wizara ya Afya, Kazi na Ustawi wa Jamii ya Japani inasema itatuma dozi zilizosalia kwenda DRC punde zitakapokuwa tayari.
ina uwezo wa kuchangia asilimia sita pekee kupitia Bajeti ya Wizara ya Afya na Mfuko wa Udhamini wa Ukimwi (ATF). Amesema kuna huduma zitakwenda kuathirika moja kwa moja kutokana na sera za sasa za ...