Mkataba wa miaka tisa na nusu ndio mrefu zaidi kusainiwa na mchezaji katika historia ya ... iliyojaa watu wa aina yake na ni aina ya mazingira ambayo husaidia kuleta ubora kutoka kwa kila mtu. "Pia ...
Kama unapenda Messi, Pele, Maradona, naelewa na heshimu hilo - lakini kusema Ronaldo si kamili… mimi ni kamili zaidi.
Watendaji wakuu wastaafu wa Kampuni ya Mwananchi Communications Limited (MCL) wamemwelezea aliyekuwa kiongozi mkuu wa ...
WAKATI Mbwana Samatta anasajiliwa Aston Villa ya England nchi ilisimama kwa shangwe kuona kijana wake akipata nafasi katika ...
Amesema siku iliyobainika tukio hilo, walishangaa kuona maaskari wakiingia na kutoka na walipojaribu kuuliza waliambiwa kuna mtu kafia ndani ya shimo la choo. “Tulidhani katumbukia siku hiyo, kumbe ni ...
VVU huathiri watu milioni 39 duniani kote Hadi kufikia mwisho wa mwaka ... lakini "kusitishwa kwa ghafla na kwa muda mrefu kwa programu hakuruhusu mabadiliko mazuri na kuweka hatarini maisha ...
Donald Trump ametia saini maagizo kadhaa baada ya kurejea katika kiti cha uongozi wa Marekani, huku akiahidi kuchukua hatua za haraka katika baadhi ya ahadi alizotoa wakati wa kampeni.
DODOMA – Rais Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani Dk. Tedros Adhanom Ghebreyesus, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma leo Januari 20. Rais wa Jamhuri ya ...
WHO ni shirika makhsusi la Umoja wa Mataifa linalohusika na afya ya umma wa kimataifa. Lilianzishwa Aprili 7, 1948 na lina makao yake makuu mjini geneva, Uswisi.
Mnamo mwaka 2020, Joe Biden alifanya kampeni juu ya uzoefu wake wa muda mrefu katika sera ya kigeni, akiwa amehudumu kama seneta na makamu wa rais kabla ya kuchaguliwa kuwa rais wa Marekani.