Samia Suluhu Hassan, kuwa madarakani katika awamu ya sita ya uongozi. Eneo mojawapo anabaki na ‘umama’ wake, unasimama katika ustawi wa jamii, mahsusi katika maslahi yao, mama na mtoto. Rais Dk. Samia ...
Wazee kutoka maeneo mbalimbali ya Wilaya ya Kisarawe wamejitokeza kwa wingi kuwasilisha migogoro yao ili kupata utatuzi kupitia Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia, inayoendelea mkoani Pwani.
Msaada huo ni kupitia kampeni ya kitaifa ya msaada wa kisheria ya Mama Samia inayokwenda sambamba na Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani inayofanyika mkoani Arusha. Mgeni rasmi anatarajiwa kuwa ...
Karibu katika Makala ya Afrika mashariki hii leo tukiangaza safari ya miaka 25 ya UNESCO kuenzi lugha mama na nafasi ya lugha mama katika kukuza maendeleo ya jamii Mwandalizi na msimulizi wako ...
This call was made by a team of lawyers from the Mama Samia Legal Aid Campaign (MSLAC) while providing legal aid services to residents of Utinta Village, located in Korongwe Ward, Nkasi District in ...
Rais Samia ameeleza furaha yake kwa kupokelewa vizuri na wananchi wa Bumbuli wakiongozwa na Mbunge wao January Makamba akisema amefurahi pia kuona mabango ya upendo kutoka kwa wananchi ambayo ...
Rais Dk.Samia Suluhu Hassan amesema anamrudisha Januari Makamba kwa mama kwani alimpiga kofi na kufichia chakula kama ilivyo desturi ya kina mama pindi mtoto anapomkera. Rais Samia amezungumza hayo ...
Baada ya kuhitimisha hotuba hiyo, Rais Samia amemwita Makamba akisema anamrudisha mwanawe huyo kwa mama. Ameeleza alimpiga kile alichokiita kikofi (alimwadhibu), lakini kama ilivyo kawaida ya mama, ...
Rais Dk. Samia Suluhu Hassan, amezindua jengo la Halmashauri ya Bumbuli, wilayani Lushoto mkoani Tanga ikiwa ni muendelezo wa ziara yake mkoani humo leo Februari 24,2025, huku akiwapongeza wananchi wa ...
wabunge na viongozi wengine wa CCM na Serikali yalionekana pia katika eneo hilo la mapokezi ya Rais Samia. Mabango pia, ni jambo lingine lililokuwepo, kila moja likiandikwa ujumbe wake, lakini zote ...
UKIZIWEKA kando Simba na Yanga zilizocheza mechi 22 kila moja, timu zingine zinazoshiriki Ligi Kuu Bara msimu huu zimeshuka dimbani mara 23 na kubakiwa na mechi saba kumaliza msimu. Simba na... LIGI ...
MWANZA: MWANZA Regional Commissioner, Mr Said Mtanda, has officially inaugurated the “Mama Samia Legal Aid Campaign”, emphasising that its primary goal is to establish justice as the foundation of ...