Makamu wa Rais,Dk Philip Mpango amesema kuwa matumizi ya nishati katika Bara la Afrika hasa Kusini mwa Jangwa la Sahara bado ni madogo ikilinganishwa na maeneo mengine kama Bara la Amerika, Asia na Ul ...
UNFPA inasema zaidi ya watu 13,000 nchini Chad, wengi wao wakiwa ni wajawazito wamefurushwa makwao kutokana na mafuriko yaliyokumba nchi nzima. Sasa janga la tabianchi linaongeza hatari, ya sio tu ...
Dar es Salaam. Wakati Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) limetangaza kuboresha miundombinu yake kwenye mikoa ya Dar es Salaam, Zanzibar na Pwani limetoa ratiba ya jinsi litakavyotekeleza kazi hiyo.
MKUU wa Wilaya ya Hai, mkoani Kilimanjaro, Hassan Bomboko, amekutana kwa zaidi ya saa tano na wakazi wa Kijiji cha Mtakuja kilichopo Kata ya KIA, kujadili na kutafuta ufumbuzi wa kudumu wa tatizo la ...
TANZANIA inatarajiwa kuwa mwenyeji wa Jukwaa la Pili wa Utalii wa Vyakula wa Shirika la Utalii Duniani Kanda ya Afrika litakalofanyika Aprili 25, 2025 jijini Arusha. Aidha, jukwaa hilo linatarajiwa ...
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO),limetoa taarifa ya uwepo wa maboresho ... hivyo baadhi ya maeneo ya Zanzibar na mikoa ya Dar es Salaam na Pwani yataathirika kwa kukosa umeme kwa nyakati tofauti.
Januari 3, 2025, Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) ilitangaza maeneo yanayopata mvua ... Pia TMA imetangaza vipindi vya mvua kubwa kwa baadhi ya maeneo itakayosababisha mafuriko na maporomoko ya ...
Bwawa hilo linajengwa ili kuimarisha upatikanaji wa maji hasa katika mikoa ya Dar es Salaam na Pwani, kupunguza mafuriko, na kuboresha uvuvi na kilimo miongoni mwa manufaa mengine. Mamlaka ya Majisafi ...
If you need an interpreter, call the Emergency Recovery Hotline 1800 560 760 and press 9.
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results