SERIKALI ya Muungano wa Tanzania na Zanzibar zimeanika namna zilivyotekeleza Ilani ya Uchaguzi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) 2020-2025, huku maboresho ya bandari na safari za treni ya mwendokasi (SGR) ...
Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar, Hemed Suleiman Abdulla, amewasilisha muhtasari wa mafanikio ya utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa kipindi cha 2020-2025, akieleza hatua ...
GAVANA wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Emmanuel Tutuba amependa ushirikiano unaofanywa baina ya Kampuni Airpay Tanzania na Wakala wa Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi Zanzibar (ZEEA) katika kuwafanya ...
Katika kambi ya wakimbizi ya Kanyaruchinya, wakimbizi wamekimbia na kwenda kusaka hifadhi kwenye jamii za wenyeji, shule na majengo ya umma. Maduka, ofisi na maghala yanayomilikiwa na mashirika ya ...
Unguja. The political landscape in Zanzibar is shaping into one of anticipation as the island nation gears up for the October 2025 General Election. The Opposition ACT-Wazalendo national Chairman and ...
Freezing cold temperatures saw the traditionally outdoors event forced inside and held in the rotunda of the US Capitol. In his inauguration speech, Mr Trump declared "the golden age of America ...
Donald Trump is now the 47th president of the United States, as well as the 45th president, a businessman - and a man who knows how to put on a show. Former presidents, Trump family members, tech ...
DODOMA – SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar imeongeza kiwango cha malipo ya pensheni jamii kwa kila mzee aliyefi kisha umri wa miaka 70 kwa asilimia 150 huku pensheni kwa wastaafu ikiongezeka kwa ...
SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) imepiga hatua kwenye uwekezaji katika sekta mbalimbali ambapo miradi 424 iliyotekelezwa imezalisha ajira rasmi 22,382 na zisizo rasmi 100,000. Aidha, uchumi wa ...
EL PAÍS looks back at the swearing-in ceremony, which is held every four years at the Capitol in Washington Jan 20, 2025 - 12:56CET ...
Unguja. Wakati Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Maji na Nishati Zanzibar (Zura), ikitangaza bei mpya elekezi kwa watumiaji wote wa umeme Zanzibar, imetaja sababu ya mabadiliko hayo ni kuongezeka kwa ...
Unguja. Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Maji na Nishati Zanzibar (Zura), imetangaza bei mpya elekezi kwa watumiaji wote wa umeme kisiwani humo ambapo zitaaza rasmi Januari 20, mwaka huu. Kwa mujibu ...