Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar, Hemed Suleiman Abdulla, amewasilisha muhtasari wa mafanikio ya utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa kipindi cha 2020-2025, akieleza hatua ...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amemuapisha Kamishna Mkuu Mpya wa Mamlaka ya ...
Maalim aliteuliwa kuwa kushika wadhifa huo kuunda Serikali ya Umoja wa Kitaifa (SUK) visiwani humo, baada ya kuibuka mshindi ...
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Hemed Suleiman Abdulla amesema ripoti ya Tume ya Haki Jinai inadhihirisha kuwa, utendaji ...
katika kuwafanya wananchi kurejesha mikopo ya bila riba inayotolewa na Serikali ya Zanzibar. Makamu wa Rais na Meneja Mikakati Kampuni ya Airpay Tanzania, Mihayo Wilmore. Ushirika huo wa ZEEA na ...
Tume Kuu ya Uchaguzi ya Belarus imetangaza kuwa Rais Alexander Lukashenko ameshinda muhula wake wa saba kwa karibu asilimia 87 ya kura katika uchaguzi wa urais uliofanywa juzi Jumapili. Tume hiyo ...
DURU la pili la Ligi Kuu Bara linatarajiwa kurejea wikiendi hii kwa vigogo Simba na Yanga kula viporo walivyonavyo dhidi ya Tabora United na Kagera Sugar, huku kocha wa Wekundu wa Msimbazi, Fadlu ...
Kuapishwa kwa Donald Trump kama rais wa 47 wa Marekani, Mkutano wa kimataifa kuhusu uchumi huko Davos, Hali ya kibinadamu kuendelea kuzorota mashariki mwa DRC, Tundu Lissu ateuliwa kuwa mwenyekiti ...
MSHAMBULIAJI Danny Lyanga amesema mzunguko wa pili wa Ligi Kuu Bara utamjengea heshima kwa kuisaidia Mashujaa aliyojiunga nayo dirisha dogo akitokea JKT Tanzania ambako hakuwa na nafasi kikosi cha ...
Trump anatarajiwa kutia saini idadi kubwa itakayoweka rekodi ya amri za rais punde baada ya kula kiapo cha kutumikia muhula wake wa pili. Muhula wake wa kwanza kama rais ulikuwa kati ya 2017 na 2021.
Makamu huyo wa zamani wa rais, aliyechukua nafasi ya Rais John Magufuli, aliyefariki dunia ghafla mweziMachi 2021, alionyesha dalili za uwazi alipoingia madarakani, hasa akiidhinisha vyombo vya ...
MAKAMU wa Pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Hemed Suleiman Abdulla amebainisha kuwa serikali imekamilisha ujenzi wa kiwanda kikubwa cha kuchakata mwani ambacho ni cha kwanza kwa nchi za ...