Mamlaka ya Rufani ya Zabuni za Umma (PPAA) imewasihi wadau wa Ununuzi wa Umma Mikoa ya Kanda ya Ziwa kushiriki mafunzo ya matumizi ya moduli ya kuwasilisha na kushughulikia rufaa na malalamiko kwa ...
ameridhia kupandishwa hadhi Halmashauri ya Mji wa Kibaha, kuwa Manispaa. Mchengerwa ameyasema hayo Januari 27, 2025 aliposhiriki hafla ya kuunga mkono maazimio ya Mkutano Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi ...
Takriban watu 100 waliuawa na zaidi ya 1,000 kujeruhiwa, kulingana na taarifa iliyotolewa na hospitali kadhaa. Hospitali za Goma "zimezidiwa" na watu waliojeruhiwa na "miili mingi" imetapakaa ...
GOMA : SERIKALI ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) imethibitisha leo kuwa jeshi la Rwanda linahusika katika mapigano yanayoendelea huko Goma, ambako waasi wa M23 wanadai kuteka mji huo. Msemaji ...
Mashirika ya Umoja wa Mataifa hii leo yameonya kwamba kuongezeka kwa uhasama kwenye viunga vya mji wa Goma mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) kunakohusisha kundi lisilo la kiserikali ...
KUNA video inazunguka mitandaoni ambayo ilianzia kwa mwandishi mkongwe, Muhidin Issa Mchuzi, aliyeposti kwenye ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa Instagram kupitia mfululizo wa makala zake za ...
ametolewa kikosini akiwa na mkongwe mwenzake Salum Kimenya wakisubiri kupangiwa majukumu mengine. Beki huyo aliyejiunga na Maafande hao tangu 2012/13, alikuwa tegemeo na atakumbukwa kwa upambanaji ...
Mwanasiasa mkongwe nchini, Dk Wilbrod Slaa anayekabiliwa na shtaka ... Amedai kupingwa kwa kesi hiyo kuwa si halali kuna athiri hata mamlaka ya mahakama kuisikiliza, akashauri ni busara kusubiri ...
Dar es Salaam. Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) imetangaza kusitisha matumizi ya namba za utambulisho kwa wale waliokaidi kuchukua vitambulisho vyao. Tangazo hilo linakuja ikiwa zimesalia siku ...
kundi hilo la waasi wa M23 limepata nguvu zaidi na mapema mwezi huu lilidhibiti mji mkuu wa eneo la Masisi katika jimbo la Kivu Kaskazini. Jeshi la Congo limeapa kuchukua tena udhibiti wa maeneo yote ...
Amoth amesema kutokana na ukaribu wa Kagera na mji wa Migori magharibi mwaKenya ... kwenye eneo la uchimbaji huku wakiwa na mabango ya kuitaka mamlaka kuwaokoa wachimbaji hao.