NCHI nane kutoka Afrika na Ulaya zinatarajia kushiriki maonesho ya kwanza ya teknolojia ya nguvu ya nishati na umeme jadidifu, lengo likiwa ni kuinua na kuongeza bunifu kwa wafanyabiashara wa Tanzania ...
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) jana kiliadhimisha miaka 48 tangu kuanzishwa mwaka 1977. Chama hicho kilianzishwa baada ya kuunganishwa TANU, chama kilichopigania na kupatikana kwa Uhuru wa Tanganyika ...