MACHO na masikio ya Watanzania Dodoma. Ndivyo ilivyo kutokana na Mkutano Mkuu Maalum wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuanza leo jijini hapa ambao pamoja na mambo mengine, wajumbe takriban 2,000 ...
DODOMA Jiji imegoma kumuachia kirahisi mshambuliaji nyota wa timu hiyo, Paul Peter aliyekuwa akitakiwa na Al Dahra ya Libya na kuwaita mezani Waarabu hao wakiwa na mzigo wa maana kama kweli wanataka ...
DODOMA – Rais Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani Dk. Tedros Adhanom Ghebreyesus, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma leo Januari 20. Rais wa Jamhuri ya ...
DODOMA: EXPECTATIONS are running high within Chama Cha Mapinduzi (CCM) as the party convenes for an Extraordinary General Meeting today. The meeting, which is set to take place at the Jakaya Kikwete ...
Dar es Salaam. Kumekucha Dodoma ndivyo unaweza kuelezea jiji hili kwa sasa wakati huu Chama cha Mapinduzi (CCM) kikifanya mkutano mkuu wake. Mitaa mbalimbali ya Jiji la Dodoma imepambwa kwa bendera za ...
Dodoma. Kumekucha Dodoma ndivyo unaweza kuelezea jiji hili kwa sasa wakati huu Chama cha Mapinduzi (CCM) kikifanya mkutano mkuu wake. Mitaa mbalimbali ya Jiji la Dodoma imepambwa kwa bendera za CCM na ...