Kwa muda mrefu Kisiwa cha Pemba kimekuwa ngome ya upinzani, tangu uchaguzi wa kwanza baada ya mfumo wa vyama vingi kurejeshwa mwaka 1995, kisiwa hicho kilikuwa ngome ya Chama cha Wananchi (CUF).
Doto Biteko kwenye Mkutano wa 17 wa Baraza la Mawaziri la kisekta la Nishati, Petroli na Madini la Jumuia ya Afrika Mashariki Jijini Arusha. Baraza la kisekta limekutana kujadili miradi ambayo ...
Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar, Dk. Hussein Mwinyi, alisema wanachama wanawajibu wa kudumisha mafanikio ya CCM kwa kuimarisha umoja na mshikamano. “Wana CCM tuna wajibu wa ...