Kwa muda mrefu Kisiwa cha Pemba kimekuwa ngome ya upinzani, tangu uchaguzi wa kwanza baada ya mfumo wa vyama vingi kurejeshwa mwaka 1995, kisiwa hicho kilikuwa ngome ya Chama cha Wananchi (CUF).
unatanguliwa na mawaziri wa kisekta, na kesho wakuu wa nchi wataketi kuhitimisha. Kikundi cha ngoma ya Msewe kutoka Zanzibar kikitoa burudani nje ya kituo cha mikutano cha Julius Nyerere (JNICC), ...
Mkutano huo pia unajumuisha mawaziri wa nishati na uchumi 60 pamoja na wadau wa maendeleo ... baadhi watakwenda katika hifadhi za taifa za wanyama na wengine watatembelea Zanzibar.
Uvumi huo ulienea baada ya kusambaa kwa picha katika mitandao ya kijamii zikimuonesha Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), Plasduce Mbossa, akiwa pamoja na ujumbe wa ...
Anaongeza kuwa ni mzoefu ndani ya chama na serikali, na kwamba mwaka 2005 hadi 2015 ilikuwa ndani ya serikali ya awamu ya nne, na kwamba kila Baraza la Mawaziri lilipobadilishwa ... (ASP) cha Zanzibar ...
“Nimeomba kujiuzulu rasmi mawaziri na wakurugenzi wa idara za utawala. "Kutakuwa na mabadiliko katika baraza la mawaziri ili kufikia utiifu mkubwa zaidi wa mpango ulioamriwa na watu," Petro ...
alitangaza ushiriki wa viongozi wenzake wa Kongo na Rwanda. Leo Ijumaa, ni mawaziri wa mambo ya nje wanaokutana. Olivier Nduhungirehe, Waziri wa Mambo ya Nje wa Rwanda, amethibitisha kuwepo kwake ...
Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Japani, Marekani, Australia na India wamefanya mazungumzo ya mpangokazi wa Quad jijini Washington nchini Marekani. Mkutano huo ulifanyika jana Jumanne katika Wizara ya ...
Mkutano wa dharura wa wakuu wa nchi za jumuiya ya maendeleo kusini mwa Afrika umeagiza kutumwa mara moja kwa mawaziri wa ulinzi na wakuu wa ulinzi kwa nchi zinazochangia wanajeshi nchini DRC ...
Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Umoja wa Ulaya wanakutana hivi leo mjini Brussels, Ubelgiji kuamua iwapo wanatakiwa kuendeleza vikwazo dhidi ya Urusi kutokana na uvamizi wake nchini Ukraine.
Mawaziri wa Ulinzi wa NATO walikusanyika jijini Brussels nchini Ubelgiji jana Alhamisi na kujadili hitaji lao la kuongeza matumizi ya ulinzi na msaada kwa Ukraine.
WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amekemea tabia ya baadhi ya wananchi wasio waaminifu wanaong’oa mabango na nguzo za anwani za ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results