Mbunge wa Jimbo la Kibaha Mjini, Sylvestry Koka, amewataka walimu kuchagua viongozi wenye uwezo wa kuwapambania na kudai ...
Wanafunzi 1,969 kutoka shule mbili za Igwamanoni na Kakoyoyo zilizopo Kata ya Bulega wilayani Bukombe, Mkoa wa Geita, wanalazimika kusoma kwa kupokezana katika Shule ya Msingi Igwamanoni ...
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria imesema imeridhishwa na uwekezaji wa miundombinu ya elimu inayoendelea ...
SERIKALI kupitia Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imekabidhi magari 12 kwa Maafisa wa Uthibiti Ubora wa Shule, ikiwa ni ...
WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amesema Serikali inaendelea na mkakati wa kufungua milango ya ujasiriamali kwa kutekeleza sera ...
Urusi inasema hakuna mazungumzo yoyote yatakayofanyika baina yake na Marekani yatakayofanyika Saudi Arabia kuhusu kuondoa ...
Kampuni ya Grumeti Reserves imetoa madawati 150 kwa shule tatu za msingi katika wilaya ya Serengeti, mkoani Mara, ili ...
Ghafla walijikuta wamefungiwa majumbani mwao, maisha yao yabadilika kwa haraka hadi kuwa ndani ya kuta nne na skrini za ...
Matokeo ya utafiti yaliyowekwa kulingana na umri yanaonyesha kwamba asilimia ya watu wanaosumbuliwa na mafua hayo iliongezeka kuanzia umri wa miaka mitano. Hii inaaminikwa kuwa inatokana na watoto ...
Baadhi ya wasichana wakimbizi katika kambi ya Dadaab iliyoko jimbo la Garissa, kaskazini mashariki mwa Kenya ni wanufaika wa mpango huu na miongoni mwao ni Zamzam Hussein. Zamzam alikuwa mwanafunzi wa ...
Hapa, chakula cha wanafunzi nusu milioni kinaandaliwa kwa ufanisi mkubwa, kikitumia nishati safi na rafiki kwa mazingira. Je, teknolojia hii inabadilisha vipi maisha ya watoto wa shule za umma?
Mazungumzo yao yalifanyika katika mazingira ya urafiki, huku wote wawili wakionesha nia ya kuimarisha ushirikiano wa Ujerumani na Ufaransa. Soma pia: Merz aanza juhudi za kutafuta washirika wa ...