Viongozi wa kidini wa Kongo wanalenga kuandaa mazungumzo ya amani ambayo yataleta serikali ya Rais Felix Tshisekedi, waasi wa ...
Viongozi wa Ulaya na wengineo jana Jumatano wamefanya awamu ya pili ya mazungumzo kuhusiana na hali ya Ukraine.
Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Marco Rubio amesema Marekani na Urusi zimekubaliana kuchagua timu za majadiliano ili ...
Siku 500 tu baada ya Oktoba 7, baraza la mawaziri la Israeli linatazamiwa kukutana Jumatatu, Februari 17, kujadili kuendelea ...
Serikali imesema ipo tayari kurudi kwenye meza ya mazungumzo na wadau wa sekta ya mawasiliano kutathmini utekelezaji wa ...
Mazungumzo kati ya Dk Biteko na Jumuiya hiyo yamefanyika leo Februari 20 jijini Dodoma na kuhudhuriwa na Katibu Mkuu Wizara ...
Viongozi wa Ulaya kutoka katika bara zima wameitetea Ukraine katika siku chache zilizopita, wakisema kwa uthabiti kwamba hakuna mazungumzo ya amani yanayoweza kufanyika bila Ukraine - au bila ...
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imeruhusu wanandoa wanaokabiliwa na kesi ya kusafirisha gramu 41.49 za dawa za kulevya aina ...
Qatar inahodhi mazungumzo ya kusitisha mapigano huko Gaza siku ya Alhamisi, ikitarajia kufikia makubaliano ambayo yatazuia Iran kufanya mashambulizi dhidi ya Israel ambayo yatapanua mzozo huo.
WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa, amefanya mazungumzo na Balozi wa Umoja wa Ulaya (EU) nchini, Christine Grau, Ofisini Ndogo ya ...
Waziri wa Ulinzi wa Uingereza, John Healy amesema hakuwezi kuwa na mazungumzo kuhusu Ukraine bila kuishirikisha Ukraine ...
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko amekutana na kufanya mazungumzo na Jumuiya ya Kampuni zinazohusika na ...