Mchezaji namba moja duniani, Tadej Pogačar, ameonyesha umahiri wa hali ya juu jana jumapili baada ya kushinda ubingwa wa dunia wa mbio za barabara kwa mara ya pili. Nyota huyo kutoka Slovenia Tadej ...
Makamu wa Rais, Dk Philip Mpango akipokea Mwenge wa Uhuru kutoka kwa Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Mwaka 2025, Ismail Ali Ussi (kushoto) baada ya kuhitimishwa kwa mbio hizo jijini Mbeya hivi ...
Veteran edge rusher Za’Darius Smith has decided to end his playing career. Smith announced his retirement in a post to his Instagram account on Monday. Smith signed with the Eagles last month and ...
Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa, Ismail Ali Ussi amewahamasisha wananchi kuunga mkono kampeni ya nishati safi ya kupikia ili kulinda afya pamoja kuokoa mazingira. Ussi ametoa wito huo jana ...
Baada ya miezi kadhaa ya maandalizi ya mashindano ya ubingwa wa Dunia, kwa mujibu wa meya wa Kigali, Samuel Dusengiyumva, jiji liko tayari kuandaa shindano hilo: "Kwa ujumla, barabara zetu ziko katika ...
Mkenya Faith Kipyegon ameshinda taji lake la nne la dunia la mbio za mita 1500 leo Jumanne, Septemba 16 mjini Tokyo, na kumaliza kwa saa 3:52:15, na hivyo kuimarisha ubabe wake katika umbali wa kati.
GEITA; MBIO za Mwenge wa Uhuru mwaka 2025 zimeingia rasmi mkoani Geita zikikitokea mkoani Mwanza Septemba 01, 2025, na ukiwa mkoani Geita Mwenge huo utakimbizwa kwenye wilaya tano za mkoa huo hadi ...
Kiongozi wa mbio za mwenge kitaifa, Ismail Ussi akizungumza wakati wa mbio za mwenge katika halmashauri ya wilaya ya Tarime vijijini. Picha na Beldina Nyakeke Tarime. Halmashauri ya Wilaya ya Tarime ...
Musoma. Watanzania wametakiwa kuwaheshimu na kuwathamini walimu na madaktari nchini kwa maelezo kuwa kazi zao ni ngumu pia zinahitaji moyo wa upendo, utu, uzalendo na kujitolea ili kutimiza wajibu na ...
WANARIADHa 5000 kutoka ndani na nje ya nchi wanatarajia kuchuana katika mbio za kimataifa za Mwalimu Julius Nyerere zinazotarajia kufanyika jijini Mbeya. Mbio hizo zinazoandaliwa na Shirika la ...