Yuji Iwasawa anamrithi Nawaf Salam, Waziri Mkuu mpya wa Lebanoni. Yuji Iwasawa atachukua nafasi ya mkuu wa mahakama ya Hague hadi muda wa Nawaf Salam utakapokamilika tarehe 5 Februari 2027.
Taarab Asilia ni Miongoni mwa Miziki ya kale zaidi katika Mwambao mwa Bahari ya Hindi, Zanzibar Taarab Hertage Ensemble ni miongoni mwa Makundi ya Muziki huo kutoka Visiwani Zanzibar, Ungana na ...
Katika maadhimisho ya miaka 10 ya huduma ya MV Jubilee Hope na uzinduzi wa meli mpya MV Lady Jean, Mkurugenzi wa mradi, Mchungaji Samweli Limbe, alisema meli hiyo imetoa huduma za afya katika visiwa ...
Mamlaka ya Ulinzi wa Pwani ya Taiwan inasema meli ya mizigo ikiwa na wafanyakazi wa China huenda imeharibu waya chini ya bahari katika kile inachoelezea kama shughuli nyingine ya "gray zone ...
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Hussein Ali Mwinyi amefahamisha kuwa Umoja wa Ulaya(EU) una mchango mkubwa na muhimu kwa maendeleo na sekta ya uwekezaji pamoja na ustawi wa ...
Wizara ya Ulinzi wa Taiwan ilisema ndege hizo pamoja na meli 14 za kijeshi zilionekana majira ya saa sita usiku wa kuamkia Alkhamis (Februari 27). Soma zaidi: Meli za kijeshi za Marekani zavuka ...
BAADHI ya wakazi wa Mtaa wa Mahomanyika Jijini Dodoma ambao ni Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wametishia kurudisha kadi za uanachama wa chama hicho wakishinikiza kupata haki yao ya kumiliki ...
Ameir Abdalla Ameir aliyetaka kufahamu malengo ya sera mpya ya utalii katika dhana ya kuwanufaisha wazawa. Wakati huohuo, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Kazi, Uchumi na Uwekezaji Zanzibar, Shariff Ali ...
SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) imezindua hatifungani inayozingatia misingi ya sheria ya Kiislamu inayoitwa Zanzibar Sukuk. Hatifungani hiyo ni ya kwanza kutolewa na serikali katika nchi zote ...
Zanzibar. Katika kukuza na kuendeleza sekta ya utalii Zanzibar kwa kushirikiana na wadau muhimu wa sekta hiyo, wakiwemo Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) na Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) ...
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO),limetoa taarifa ya uwepo wa maboresho ... ya umeme katika maeneo ya Zanzibar, Dar es Salaam na Pwani ambalo limefanya kituo hicho kuzidiwa na hivyo kulazimu ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results