SERIKALI ya Muungano wa Tanzania na Zanzibar zimeanika namna zilivyotekeleza Ilani ya ... Alisema pensheni jamii kwa wazee waliofikisha miaka 70 wanalipwa Sh. 50,000 kila mwezi na kwa wastaafu ...
akisema lilitokea majira ya asubuhi ya Januari 15, 2025. Mtoto huyo alichukuliwa na mtu huyo wakati akicheza na mtoto mwenzake Josephat Jangama mwenye umri wa miaka mitatu, mkazi wa kitongoji hicho.
In a momentous event marking 60 years of diplomatic relations, President Droupadi Murmu and the President of Singapore, Tharman Shanmugaratnam, unveiled a special joint logo on January 16 in New Delhi ...
Muungano mkubwa zaidi wa vyama vya upinzani nchini Ujerumani umewasilisha bungeni hoja ya kubana zaidi sheria za uhamiaji ukisaidiwa na chama kinachochukuliwa kuwa cha mrengo wa mbali kulia.
GAVANA wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Emmanuel Tutuba amependa ushirikiano unaofanywa baina ya Kampuni Airpay Tanzania na Wakala wa Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi Zanzibar (ZEEA) katika kuwafanya ...
Manusura mwingine mwenye umri wa miaka 99, Leon Weintraub, alielezea mashaka juu ya ukosefu wa uvumilivu anaouona barani Ulaya hivi sasa na kuwaasa watu kuendelea kuwa waangalifu. Vikosi vya ...
Wakati Mamlaka ya ... na Nishati Zanzibar (Zura), ikitangaza bei mpya elekezi kwa watumiaji wote wa umeme Zanzibar, imetaja sababu ya mabadiliko hayo ni kuongezeka kwa mahitaji ya matumizi ya umeme ...
Zanzibar ilipata uhuru kamili mnamo Desemba 10, 1963, kutoka kwa Uingereza, Waarabu walio wachache walifanikiwa kushika madaraka waliyorithi kutoka kwa Zanzibar kuwepo kama eneo la ng'ambo la Oman.
Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kwa kushirikiana na Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) inafanya utafiti wa tatu wa hali ya upatikanaji na matumizi ya nishati katika mikoa yote ya Tanzania Bara. Hayo ...
ambayo ni kushinda uchaguzi kukamata dola ya ya Jamhuri ya Muungano na Zanzibar na Serikali za mitaa,” amesema. Amesema kwa sasa wameshashinda uchaguzi wa Serikali za mitaa uliofanyika Novemba 27, ...
WAJUMBE wa Mkutano Mkuu Maalumu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) leo wanaanza kikao chao cha siku mbili ambacho pamoja na mambo mengine wanakwenda kupiga kura ya kujaza nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa CCM ...
Watu wenye umri wa zaidi ya miaka 60 watakuwa karibu theluthi moja ya watu wa China ifikapo mwaka 2035, kulingana na kikundi cha Economist Intelligence Unit. Mnamo mwezi wa Septemba, mamlaka ...