“Kwa niaba ya Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ... imara kwa maendeleo makubwa ambayo Ethiopia imepiga hatua kubwa kwa miaka ya karibuni, ...
Moshi. Licha ya Mkutano Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) kuridhia kwa kishindo, kumpitisha Rais Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea pekee wa chama hicho kwa nafasi ya urais kwenye uchaguzi mkuu ...
Mchungaji Godfrey Malisa aliyefukuzwa CCM. Moshi. Licha ya Mkutano Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) kuridhia kwa kishindo, kumpitisha Rais Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea pekee wa chama hicho kwa ...
Kwa upande wake, Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, amesema Tanzania itaendelea kusaidia mipango yote ya kidemokrasia ili kukomesha mapigano nchini Kongo. Ombi langu ...
Rais wa kwanza wa Namibia huru, Sam Nujoma, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 95 katika ... Hatua ya Trump kuondoa ufadhili; Wafanyakazi katika mashirika Tanzania wana siutafahamu Chanzo ...
amehuzunika baada ya kumuona mkwe wake kwenye televisheni. "Hali yake inaonekana vibaya sana. Leo ana umri wa miaka 56. Na anaonekana kama ana umri wa miaka 10. Inasikitisha kumuona hivi.
Nao wanafunzi wa shule ya Lung’wa iliyopo wilaya ya Itilima wameipongeza Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inayoongozwa na Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa madawati hayo ambayo ...
“Kwa niaba ya Serikali na wananchi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, napenda kuwasilisha salamu zetu za rambirambi kwa Mheshimiwa Dkt. Nangolo Mbumba, Rais wa Jamhuri ya Namibia, wananchi wa Namibia ...
Wikiendi iliyopita Mtanzania, Malaika Meena alisaini mkataba wa miaka miwili kuitumikia timu hiyo wenye kipengele cha kuongezewa ikiwa atafanya vizuri. "Nina furaha kubwa kusaini na Bristol City, hasa ...
Walikuwa pia wanataka wakimbizi wa Tutsi waliofukuzwa nchini Rwanda kwa sababu ya vurugu za kikabila kurudi nyumbani. Kwa miaka minne ... ambaye anasimamia muungano wa vikundi vya waasi ikiwemo ...
Na Esther Mnyika, Mtanzania Digital Wahandisi nchini wametakiwa kufanya kazi kwa kuzingatia maadili, nidhamu, na uwajibikaji ili kuhakikisha taaluma hiyo inatoa mchango stahiki katika maendeleo ...