Minong’ono hiyo ilipata uzito baada ya kupita miaka kadhaa bila ripoti ya uchunguzi huo kuwekwa bayana, hatimaye yameibukia kwa mkuu wa nchi. Ingawa Rais Samia amefumbua kitendawili kilichohitaji ...
ambayo inajumuisha miaka sita ya shule ya msingi na miaka mitatu ya shule ya sekondari ya chini. Watoto wasio Wajapani wanaweza kupokea elimu ya lazima sawa na watoto wa Kijapani kwa kukamilisha ...
Kiongozi huyo wa Ukraine alijibu matamshi yao ya Putin akisema "anaogopa" mazungumzo na alikuwa akitumia "hila za kijinga" kurefusha mzozo wa karibu miaka mitatu.
Clouds TV kwa kupitia Kipindi chake cha Sentro Bash la Bimdash wameungana na watanzania wengine katika kusherehekea kumbukizi ya tarehe ya kuzaliwa kwa Mhe.Rais Samia Suluhu Hassan aliyetimiza umri wa ...
Adnan Ali Zuweid, ambaye amekuwa akizamia kwa miongo lakini alistaafu miaka mitatu iliyopita, anasema, “Kazi ya kuzamia lulu, mbali na kuwa njia ya maisha, pia ni yenye manufaa kwa mwili. Kuna maeneo ...
Ukanda wa Sahel ni kiini cha mgogoro mmoja mbaya zaidi duniani. Vifo vinavyohusiana na ugaidi katika eneo hilo vimevuka 6,000 kwa miaka mitatu mfululizo, na kufanya zaidi ya nusu ya vifo vyote duniani ...
Makamu huyo wa zamani wa rais, aliyechukua nafasi ya Rais ... wa Samia Suluhu Hassan. "Hatuna wagombea mbadala kwa mwaka 2025," iliandikwa kwenye mabango. "Tumetimiza mengi katika miaka minne ...
Imeelezwa katika taarifa ya polisi kuwa watoto hao wamepatikana wakiwa kwa mganga wa kienyeji Kimara Baruti, jijini Dar es Salaam. Watoto hao, wakazi wa Tandika, jijini Dar es Salaam, ni Husna Gulam ...
DAR ES SALAAM; RAIS Samia ... maendeleo ya Tanzania kikanda, alisema mtangamano wa kikanda umeendelea kuwa uti wa mgongo wa Sera ya Mambo ya Nje ya Tanzania ambapo mwaka jana ilipewa heshima ya kuwa ...
Yanga inataka kuipiga bao Simba kwa kumpa Lawi Sh150 Milioni kwa mkataba wa miaka mitatu wakati Wekundu hao wako tayari kumpa Sh130 Milioni. Ofa hiyo ya Yanga ilimchanganya beki huyo na akili yake ...
Katika michezo mitatu aliyoamua msimu huu, rekodi ya Milazare ni ya kutisha, hakuna timu yoyote iliyofunga bao, hivyo kocha wa Yanga, Sead Ramovic na vijana wake wanatakiwa kufanya kazi ya ziada ...
kuelezea mafanikio ya PSSSF katika miaka mitatu ya uongozi wa Serikali ya awamu ya sita chini ya uongozi wa Dk. Samia Suluhu Hassan, kwenye semina ya viongozi wa Kata na Mitaa wa Wilaya ya Ilala.