RAIS Samia Suluhu Hassan, anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye maadhimisho ya miaka 48 ya Chama cha Mapinduzi (CCM) ambayo yatafanyika Kitaifa jijini Dodoma Februari 5, mwaka huu. Mwenyekiti wa Jumuiya ...
WANANCHI wilayani Chato mkoani Geita wamejitokeza kumchangia Rais Samia Suluhu Hassan kiasi cha Sh milioni 1.4 kwa ajili ya kuchukua fomu ya kugombea nafasi ya uraisi katika uchaguzi mkuu mwaka 2025.
Walikuwa sehemu ya kundi la wafuasi 32 wa upinzani ambao walikuwa wamekaa kwa zaidi ya miaka mitatu kizuizini kabla ya kesi na zaidi ya mwaka mmoja kuhukumiwa. Mnamo mwezi Novemba, mamlaka ...
Mwenyekiti wa Mama Ongea na Mwanao, Steve Mengele maarufu Steve Nyerere, amempongeza Rais Samia Suluhu Hassan pamoja na Wizara ya Maliasili na Utalii kwa mafanikio makubwa ya sekta ya utalii, ikiwemo ...
Minong’ono hiyo ilipata uzito baada ya kupita miaka kadhaa bila ripoti ya uchunguzi huo kuwekwa bayana, hatimaye yameibukia kwa mkuu wa nchi. Ingawa Rais Samia amefumbua kitendawili kilichohitaji ...
Dodoma. “Mke wangu alifariki dunia ghafla baada ya kuugua kwa siku tatu tu. Alikuwa anavuja damu kila mahali tulipompeleka hospitali walisema ana shinikizo la damu, alifariki dunia wakati akipatiwa ...
ambayo inajumuisha miaka sita ya shule ya msingi na miaka mitatu ya shule ya sekondari ya chini. Watoto wasio Wajapani wanaweza kupokea elimu ya lazima sawa na watoto wa Kijapani kwa kukamilisha ...
Kundi linalopinga serikali la M23, linaloungwa mkono na wanajeshi 3,000 hadi 4,000 wa Rwanda, kulingana na UN, limekuwa likipambana na jeshi la Kongo katika eneo hilo kwa zaidi ya miaka mitatu.
Kiongozi huyo wa Ukraine alijibu matamshi yao ya Putin akisema "anaogopa" mazungumzo na alikuwa akitumia "hila za kijinga" kurefusha mzozo wa karibu miaka mitatu.
Manusura mwingine mwenye umri wa miaka 99, Leon Weintraub, alielezea mashaka juu ya ukosefu wa uvumilivu anaouona barani Ulaya hivi sasa na kuwaasa watu kuendelea kuwa waangalifu. Vikosi vya ...
Clouds TV kwa kupitia Kipindi chake cha Sentro Bash la Bimdash wameungana na watanzania wengine katika kusherehekea kumbukizi ya tarehe ya kuzaliwa kwa Mhe.Rais Samia Suluhu Hassan aliyetimiza umri wa ...