ameridhia kupandishwa hadhi Halmashauri ya Mji wa Kibaha, kuwa Manispaa. Mchengerwa ameyasema hayo Januari 27, 2025 aliposhiriki hafla ya kuunga mkono maazimio ya Mkutano Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi ...
Goma ni mji mkuu wa Mkoa wa Kivu Kaskazini nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), unaotajwa kuwa mji wa pili kwa ukubwa baada ya Kinshasa. Mji huu, uliopo mpakani na Gisenyi nchini Rwanda, ...
Hali ya wasiwasi inaongezeka katika mji wa Bukavu uliopo jimbo la Kivu Kusini nchini Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo kufuatia kuwepo kwa waasi wa M23 katika wilaya jirani ya Kalehe kwa zaidi ya ...
vikiripotiwa kupata majeruhi baada ya waasi kuchukua sehemu ya mji wa Goma mashariki mwa DRC. Viongozi wanatarajiwa kujadili jinsi ya kumaliza mvutano katika eneo la mashariki mwa Congo, na ...
MKONGWE katika muziki wa Uganda ... Garrick Williams - itakupa raha ya kuufaidi uzuri wa mandhari za Afrika Kusini. Akizungumzia video hiyo na matayarisho ya ujio wa albamu yake mpya, Bebe Cool ...
Mkurugenzi wa Mashtaka nchini Tanzania (DPP) amewasilisha kusudio la kukata rufaa kupinga uamuzi uliyotolewa na Mahakama Kuu Masjala Ndogo Dar es Salaam dhidi ya Mwanasiasa Mkongwe nchini Tanzania ...
itakutana siku ya Ijumaa katika mji mkuu wa Zimbabwe, Harare, kwa mkutano wa kilele wa kipekee kuhusu hali ya mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, katibu mkuu wake ametangazasiku ya ...
Takriban watu 100 waliuawa na zaidi ya 1,000 kujeruhiwa, kulingana na taarifa iliyotolewa na hospitali kadhaa. Hospitali za Goma "zimezidiwa" na watu waliojeruhiwa na "miili mingi" imetapakaa ...
Mashirika ya Umoja wa Mataifa hii leo yameonya kwamba kuongezeka kwa uhasama kwenye viunga vya mji wa Goma mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) kunakohusisha kundi lisilo la kiserikali ...
KUNA video inazunguka mitandaoni ambayo ilianzia kwa mwandishi mkongwe, Muhidin Issa Mchuzi, aliyeposti kwenye ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa Instagram kupitia mfululizo wa makala zake za ...
kundi hilo la waasi wa M23 limepata nguvu zaidi na mapema mwezi huu lilidhibiti mji mkuu wa eneo la Masisi katika jimbo la Kivu Kaskazini. Jeshi la Congo limeapa kuchukua tena udhibiti wa maeneo yote ...