Februari 5, 1977, vyama vya TANU na Tanganyika na Afro Shiraz (ASP) cha Zanzibar viliungana na kuunda chama ... Kwa upande wake, Waziri wa zamani na mwanasiasa mkongwe nchini, Paul Kimiti anasema CCM ...
Waziri wa zamani wa Michezo, walikamatwa mwishoni mwa mwezi Septemba, wakishukiwa kupanga mapinduzi katika nchi hii ndogo ya Afrika Magharibi yenye wakazi milioni 13, jambo ambalo wamekuwa ...
Urusi imesema vikosi vyake vimefanikiwa kuingia katika mji wa kimkakati wa mashariki mwa Ukraine wa Velyka Novosilka. Wizara ya ulinzi ya Moscow imesema hata hivyo kuwa mapigano bado yanaendelea ...
Mapigano ya kujaribu kuuteka mji wa Goma yaua watu wasiopungua 100 Takriban watu 100 waliuawa na zaidi ya 1,000 kujeruhiwa, kulingana na taarifa iliyotolewa na hospitali kadhaa.
Juzi Jumatatu, kundi la waasi la M23 lilidai kuwa limechukua udhibiti wa mji wa Goma, mji mkubwa katika eneo hilo. Lakini jeshi na wanamgambo wanaounga mkono serikali waliendelea kupambana na ...
Na Asha Juma Chanzo cha picha, AFP Maafisa wa usalama nchini Sudan Kusini wameweka amri ya kutotoka nje usiku baada ya maandamano kuzuka katika mji mkuu ... Waziri mkuu wa zamani wa Pakistan ...
Waasi wa vuguvugu la M23 wanasema wameudhibiti mji wa Goma mashariki mwa Jamhuri ... kwa sababu tulianza kukimbia zamani sana, "Bi Feza alisema na kuongeza: "Vita inatukuta hapa kati ya familia ...
Goma ni mji uliopo kwenye mpaka na nchi jirani ya Rwanda na ulikuwa ngome siyo tu ya vikosi vya serikali lakini pia ya vikosi vya walinda amani vilivyopelekwa mjini humo na Umoja wa Mataifa, UN na ...
Katika kinyang'anyiro cha tiketi ya chama cha Republican, rais wa zamani Donald Trump anakabiliwa na mashtaka manne ya uhalifu, hali ambayo haijawahi kutokea kwa rais wa zamani wa Marekani.
Goma ni mji mkuu wa Mkoa wa Kivu Kaskazini nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), unaotajwa kuwa mji wa pili kwa ukubwa baada ya Kinshasa. Mji huu, uliopo mpakani na Gisenyi nchini Rwanda, ...
Dar es Salaam. Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Hemed Suleiman Abdulla amesema Uchumi wa Zanzibar umekua kutoka asilimia 5.1 kutoka mwaka 2021 hadi asilimia 7.5 mwaka 2024. Mbali ya uchumi pia pato ...