Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar, Hemed Suleiman Abdulla, amewasilisha muhtasari wa mafanikio ya utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa kipindi cha 2020-2025, akieleza hatua ...
Goma ni mji mkuu wa Mkoa wa Kivu Kaskazini nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), unaotajwa kuwa mji wa pili kwa ukubwa baada ya Kinshasa. Mji huu, uliopo mpakani na Gisenyi nchini Rwanda, ...
Rais wa Chad Mahamat Idriss Deby ameikaribisha hatua ya kujiondoa kikamilifu kwa majeshi ya Ufaransa nchini humo, alama inayoashiria ukomo wa Ufaransa kuwepo kwenye eneo la Sahel lililoathiriwa na ...
Waziri wa zamani wa Michezo, walikamatwa mwishoni mwa mwezi Septemba, wakishukiwa kupanga mapinduzi katika nchi hii ndogo ya Afrika Magharibi yenye wakazi milioni 13, jambo ambalo wamekuwa ...
GAVANA wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Emmanuel Tutuba amependa ushirikiano unaofanywa baina ya Kampuni Airpay Tanzania na Wakala wa Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi Zanzibar (ZEEA) katika kuwafanya ...
BEKI wa zamani wa Biashara United na Singida Foutain Gate, Abdulmajid Mangalo amesema licha ya kuwa nje ya uwanja, lakini anatumia muda huu kuwafuatilia wachezaji kujifunza vitu kwa ajili kurejea ...
Janga la haki za binadamu katika eneo la mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) linaendelea kuzidi kuwa baya, wakati mapigano kati ya jeshi la serikali na kundi lenye silaha la M23 ...
Mapigano ya kujaribu kuuteka mji wa Goma yaua watu wasiopungua 100 Takriban watu 100 waliuawa na zaidi ya 1,000 kujeruhiwa, kulingana na taarifa iliyotolewa na hospitali kadhaa.
Juzi Jumatatu, kundi la waasi la M23 lilidai kuwa limechukua udhibiti wa mji wa Goma, mji mkubwa katika eneo hilo. Lakini jeshi na wanamgambo wanaounga mkono serikali waliendelea kupambana na ...
Atawania urais wa jimbo la ksuini magharibi mwa Somalia katika uchaguzi wa kieneo mwezi ujao. Je ni kweli Al shabaab ina mfumo bora wa kutoza kodi? Kiongozi wa zamani wa al-Shabaab ajisalimisha ...
Unguja. The political landscape in Zanzibar is shaping into one of anticipation as the island nation gears up for the October 2025 General Election. The Opposition ACT-Wazalendo national Chairman and ...
Northern Cape Premier Zamani Saul has announced Mangaliso Matika and Limakatso Koloi as two new appointments to the executive council, effective immediately. Saul said this was in an effort to ...