Maelezo ya picha, Dodoma ulitangazwa kuwa mji mkuu wa Tanzania na rais mwanzilishi Julius Nyerere mwaka 1973. 30 Septemba 2016 Waziri Mkuu wa Tanzania Kassim Majaliwa amehamia rasmi mji wa Dodoma ...
Je unafahamu kuwa nchini Tanzania kuna mji mkongwe ambao usafiri wake mkuu ni baiskeli? Kwa muda wa miongo mitano sasa, wakazi wake wameendelea kutegemea zaidi usafiri huo ambao unatambua ...
Mkutano wa pamoja wa EAC-SADC kuhusu mgogoro wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo umefayika siku ya Jumamosi Februari 8 katika ...
Jumatano ya Februari 12 mwaka huu, Wizara ya Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo ilitoa mchoro rasmi wa uwanja wa michezo ...
Waasi wa kundi la M23 wameingia kwenye kitovu cha mji mkuu wa jimbo la Kivu Kaskazini mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Goma, masaa kadhaa baada ya kutangaza kutwaa udhibiti wa mji ...
CHAMA cha Wamiliki wa Malori Wadogo na Wakati Tanzania (TAMSTOA), wameiomba Serikali kushughulikia changamoto zinazowakabili ...
WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa, amesema anaridhishwa na viwango vya ujenzi wa uwanja wa ndege uliopo Ibadakuli, Manispaa ya ...
Wakuu wa nchi kutoka Jumuiya ya maendeleo ya kusini mwa Afrika SADC na wale wa Afrika Mashariki, Ijumaa na Jumamosi ya wiki hii watakutana jijini dar es Salaam, Tanzania, kuzungumzia mzozo unaoendelea ...
MOROGORO ni miongoni mwa miji michache nchini yenye umaarufu kutokana na mchango wake kwenye harakati za ukombozi ...
Waasi wa M23 wanaendelea kuimarisha udhibiti wao kwa mji mkuu wa Kivu Kaskazini, Goma, huku waandamanaji mjini Kinshasa wakizivamia balozi za mataifa ya kigeni wanayoyatuhumu kushirikiana na ...
Chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania kimetishia kuanzisha maandamano ... Jumatano kimetishia kuandaa maandamano hayo katika mji mkuu wa kibiashara wa Dar es Salaam tarehe 23 ya mwezi Septemba.
Results that may be inaccessible to you are currently showing.
Hide inaccessible results