MOROGORO ni miongoni mwa miji michache nchini yenye umaarufu kutokana na mchango wake kwenye harakati za ukombozi ...
Baba mzazi wa marehemu ... zake ili kuhakikisha yanatimia na kuleta manufaa aliyokuwa anayatarajia. Mzee Magoma amebainisha hayo leo Jumatatu Februari 10, 2025 kwenye ibada fupi ya kumuaga aliyekuwa ...
Mbali na kuwa mjumbe kutoka Tanu aliyeshiriki kuandika katiba ya chama kipya cha CCM, pia aliwahi kuwa mkuu wa mkoa katika mikoa kadhaa ikiwemo Ruvuma, Pwani, na Lindi. Ndani ya CCM, aliwahi kuwa ...
Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa DAWASA, Mhandisi Mkama Bwire. Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imeandika historia kwa kuanza rasmi utekelezaji wa Mradi wa Bwawa la Kidunda ...
Saida anaishukuru serikali kwa kuwachimbia bwawa la maji linalowawezesha kupata maji karibu na maeneo yao na pia kufanya vizuri shughuli zake za ... kupitia mradi wa uchimbaji wa visima. Anasema ...
Kufikia saa 11 asubuhi leo Jumapili, kina cha theluji kilikuwa kimefikia sentimita 315 katika mji wa Uonuma katika Mkoa wa Niigata na sentimita 311 katika Mji wa Nishikawa katika Mkoa wa Yamagata.
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo imekwama vitani, wanamgambo wa kundi la M23 limekuwa vitani dhidi ya jeshi la kitaifa na kudhibiti sehemu muhimu zote kwa mkoa wa mashariki. Katika kipindi cha ...
Nchini Israeli, watu wamepigwa na mshuko kufuatia kuachiliwa kwa wale waliokuwa mateka watatu wa zamani, anaripoti mwandishi wetu katika Jerusalem, Michel Paul. Wanaume watatu, wameonekana hali ...
anga na ukanda wa pwani, na kuwa na udhibiti kamili wa shughuli za watu na bidhaa za kuingia na kutoka. Umoja wa Mataifa bado unaichukulia Gaza kuwa eneo linalokaliwa na Israel kwa sababu ya ...
WAKATI Ligi ya Wanawake ikisaliwa na mechi sita, Ligi ya Mkoa nayo ikitarajiwa kuanza, Ukerewe Queens ambayo kwa sasa inaitwa Tausi FC imefanya usajili wa maana kujiandaa na ligi hiyo ikiwaleta ndugu ...
Maganja amesema TAWA imekuwa na utaratibu wa kurejesha faida zinazotokana na shughuli za uhifadhi kwa jamii zinazozunguka maeneo ya hifadhi zilizo chini ya usimamizi wa taasisi hiyo, na kwa Mkoa wa ...
Thank you for reporting this station. We will review the data in question. You are about to report this weather station for bad data. Please select the information that is incorrect.
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results