Edward Ngoyai Lowassa, tayari ameshatimiza mwaka mmoja tangu alipovuta pumzi ya mwisho, Februari 10, 2024 akiwa Taasisi ya ...
RAIS Samia Suluhu Hassan kesho anatarajia kuzindua Sera ya Elimu na Mafunzo ya Mwaka 2014 Toleo la 2023. Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson ...
Rais Samia Suluhu Hassan atazindua Sera ya Elimu na Mafunzo ya Mwaka 2014 ... Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, ameyasema hayo leo Jumatano, Januari 29, 2025, alipozungumzia uzinduzi wa sera ...
Kikao hicho kimeanza hii leo Jumamosi jijini Dar es Salam nchini Tanzania kujadili suala la usalama na ile ya kibinadamu katika Mji wa Goma, Mji Mkuu wa Kivu Kaskazini. Nchi ya DRC inawakilishwa ...
Makamu huyo wa zamani wa rais ... mwenza wa Samia Suluhu Hassan. "Hatuna wagombea mbadala kwa mwaka 2025," iliandikwa kwenye mabango. "Tumetimiza mengi katika miaka minne iliyopita na ninaahidi ...
Chama tawala nchini Tanzania, Chama cha Mapinduzi (CCM) kimepitisha azimio la kumteua Rais Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea wa nafasi ya urais katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika baadae ...
DODOMA: RAIS Samia Suluhu Hassan, amekitaka Chama cha Mapinduzi kutoruhusu kunyemelewa na kiburi cha kuwabeza wapinzani na kutoingiwa na pepo la kuwaogopa, bali waendelee kulinda heshima na imani ...
RAIS Samia Suluhu Hassan, amesema amesikitishwa na taarifa ya kifo cha Baba wa Taifa la Namibia na Rais wa Kwanza wa taifa hilo, Sam Nujoma. Ametuma salamu za rambirambi kwa Wanamibia kutokana na kifo ...
Rais Samia amepewa Tuzo hiyo katika kipengele cha mapambano dhidi ya vifo vya wamama wajawazito na watoto wachanga chini ya umri wa miaka mitano.
Rais Samia Suluhu Hassan leo Alhamisi Januari 30, 2025 amekula chakula cha mchana pamoja na walioshiriki uokoaji katika jengo la ghorofa lililoporomoka Kariakoo Novemba 2024. Katika hafla hiyo ya ...
Rais Donald Trump wa Marekani amefanya majadiliano na Jensen Huang, Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni kubwa ya Marekani ya kutengeneza sakiti changamano ya Nvidia. Wawili hao wameripotiwa kujadili ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results