UKAGUZI wa kiufundi na kiufanisi wa ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa Msalato, jijini Dodoma uliofanywa na Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), umebainisha dosari kadhaa katika utekelezaj ...
Mawaziri hao wamekutana leo mjini Dar Es Salaam, Tanzania ... suluhu la kweli na la kudumu, na tutajitahidi kuhakikisha wananajeshi wetu wanarejea nyumbani." Baadhi ya wabunge wa bunge la Afrika ...
Pia ametaja athari nyingine ni adhabu ya riba ya Sh322.721 milioni kutokana na kuchelewa malipo kwa wakandadarasi.
Ingawa takwimu za uchaguzi huu bado hazijatolewa, baada ya uchaguzi wa ndani wa mwaka 2019, wanawake walikuwa ni asilimia 10 tu ya Bunge la Jamhuri ya Muungano, asilimia 8.6 ya wajumbe wa Baraza la ...
Katika dunia inayoendelea kwa kasi kwa kila nyanja, kuna kila sababu kwa Tanzania ... wa Serikali kuanzisha NEMA kama Chombo cha Mamlaka. Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Mbunge wa Jimbo la Kalenga, Jackson ...
KATIKA dunia inayoendelea kwa kasi kwa kila nyanja, kuna kila sababu kwa Tanzania kuwa na chombo madhubuti cha kusimamia ...
Hatua inayofuata katika mjadala huu inakita nguvu kutoka muundo ... wetu wa kukusanya kodi na kusababisha kuwapo kwa ongezeko la asilimia 33 ya utekelezaji wa sheria za kodi miongoni mwa biashara ...
Akiichambua sera hiyo, Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Uwezo Tanzania, Baraka Mgohamwende amepongeza sera hiyo kwa kutambua mabadiliko ya kiteknolojia, kiuchumi, na kijamii kama vigezo vya ...
wakidhibiti maeneo ya mji wa Goma na sasa wanajaribu kuelekea Bukavu mji mkuu wa jimbo la Kivu Kusini. Mkutano wa Ijumaa ya wiki hii, unatajwa na wadadisi wa mambo kuwa ni wamuhimu hasa ...
Baraza la Wawakilishi la Bunge la Ufilipino limepiga kura ya kumuondoa madarakani Makamu wa Rais Sara Duterte. Anashutumiwa kutumia vibaya fedha za umma na makosa mengine. Makamu wa Rais ni binti ...
Bunge la Ujerumani limeupitisha muswada wa kuwakataa wahamiaji wengi zaidi mipakani uliowasilishwa na kiongozi wa upinzani wa chama cha kihafidhina cha Christian Democratic, CDU, Friedrich Merz.