Kwa upande wake, Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, amesema Tanzania itaendelea kusaidia mipango yote ya kidemokrasia ili kukomesha mapigano nchini Kongo.
Amesema hatua ya pili ni kuanzisha vuguvugu kubwa la pamoja la umma kupitia mikutano ya hadhara na maandamano.
Ni kweli uteuzi wa Rais Samia Suluhu Hassan na Dk Hussein Mwinyi kupeperusha bendera ya CCM uchaguzi mkuu 2025 umeleta maneno ...
Miaka ya 1980 na hata nusu ya kwanza ya miaka ya 1990 hakukuwa na tofauti kubwa ya nguvu za kiuchumi na ufundi kati ya soka ...
“Kwa niaba ya Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, tunawapongeza sana wenzetu wa Prosperity Party, chini ya uongozi wa Rais wa Chama, ambaye pia ...
MKURUGENZI wa Idara ya Mashariki ya Kati Balozi Abdalla Kilima, amewashauri watanzania wanaofanya kazi Oman kufuata mikataba ya kazi ...
“Kwa niaba ya Serikali na wananchi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, napenda kuwasilisha salamu zetu za rambirambi kwa Mheshimiwa Dkt. Nangolo Mbumba, Rais wa Jamhuri ya Namibia, wananchi wa Namibia ...
Nchini Israeli, watu wamepigwa na mshuko kufuatia kuachiliwa kwa wale waliokuwa mateka watatu wa zamani, anaripoti mwandishi wetu katika Jerusalem, Michel Paul. Wanaume watatu, wameonekana hali ...
Badala yake, ameacha hotuba za umma na matamko kwa msemaji wake, na Corneille Nangaa, ambaye anasimamia muungano wa vikundi vya waasi ikiwemo M23. Lakini Makenga bado ni muhusika muhimu ...
Uvamizi wa waasi wa M23 katika eneo la mashariki mwa Jamhuri ya demokrasi ya Congo (DRC) lenye utajiri wa madini umesababisha mzozo wa kibinadamu na kidiplomasia, ukihusisha mataifa kadhaa jirani.
Waziri wa Afya, Jenista Mhagama. Na WAF – Malawi Serikali ya Tanzania kwa kushirikiana na wadau wa Sekta ya Afya imefanya maendeleo makubwa katika kujenga uwezo wa kukabiliana na dharura za afya ikiwa ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results