CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimetambulisha wagombea wake wa nafasi ya urais huku kikiweka wazi mikakati mitano ya kuendelea kubaki madarakani huku kipaumbele kikiwa kuondoa tatizo la ajira kwa vijana k ...
Kwa upande wake, Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, amesema Tanzania itaendelea kusaidia mipango yote ya kidemokrasia ili kukomesha mapigano nchini Kongo.
GAVANA wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Emmanuel Tutuba amependa ushirikiano unaofanywa baina ya Kampuni Airpay Tanzania na Wakala wa Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi Zanzibar (ZEEA) katika kuwafanya ...
Amesema hatua ya pili ni kuanzisha vuguvugu kubwa la pamoja la umma kupitia mikutano ya hadhara na maandamano.
Wanajeshi wawili kutoka Tanzania wameuawa nchini DRC kwa mujibu wa Jeshi la Tanzania. Kwa mujibu wa taarifa iliotumwa kwa vyombo vya habari na Jeshi la Ulinzi la Tanzania , wanajeshi hao ...
MAKAMU Mwenyekiti wa (CCM) Zanzibar Dk. Hussein Mwinyi, amewataka wana-CCM kuhakikisha chama hicho kinaendelea kushika dola ...
Ni kweli uteuzi wa Rais Samia Suluhu Hassan na Dk Hussein Mwinyi kupeperusha bendera ya CCM uchaguzi mkuu 2025 umeleta maneno ...
Chama tawala nchini Tanzania, Chama cha Mapinduzi ... Hussein Mwinyi kugombea Urais kwa upande wa Zanzibar. Uamuzi huo umefanyika mapema kuliko kawaida, na katika mkutano ambao awali haukupangwa ...
mjini Zanzibar. Makamu Mwenyekiti huyo alisema wanapozungumzia mabadiliko ya sheria ili kuwapo wagombea huru kwa nafasi ya Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania na wabunge si jambo linalowanufaisha ...
Miongoni mwa maagizo yake, Mahakama imeitaka Tanzania kutunga mpango wa kitaifa wa kulinda watu wenye ualbino, kwa kuzingatia Mpango wa Muungano wa Afrika wa Kukomesha Mashambulizi na Ukiukwaji ...
Uenezi na Mafunzo CCM Taifa ni Amos Makalla. Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Dk Hussein Ali Mwinyi. Jambo la pili ambalo pia ni miongoni mwa mambo ninayoita nyota, ni kupokea taarifa za Serikali ya ...
Miaka ya 1980 na hata nusu ya kwanza ya miaka ya 1990 hakukuwa na tofauti kubwa ya nguvu za kiuchumi na ufundi kati ya soka ...