Jeshi la Polisi Mkoa wa Songwe linamshikilia Bangros ... Taarifa hiyo ya Kaimu Kamanda Akama imeeleza kuwa uchunguzi wa haraka ulibaini kuwa Bangros si askari polisi halali, bali ni mgambo aliyekuwa ...
Kaimu Kamanda Akama alisema kuwa uchunguzi wa haraka ulibaini kuwa Sikaluzwe siyo askari polisi, bali ni mgambo aliyekuwa anajifanya askari kwa malengo ambayo hayajathibitishwa. "Jeshi la Polisi Mkoa ...
Ushahidi uliopo kwenye kumbukumbu za Mahakama, bibi huyo hakumtambua mtu aliyembaka, ila alipiga kelele za kuomba msaada kisha mwenyekiti wa kijiji alimwamuru mgambo kwenda eneo ... na ajira ngazi ya ...
Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo imethibitisha hivi leo uwepo wa jeshi la Rwanda huko Goma, ambako waasi wa M23 wamedai kuuteka mji huo. Msemaji wa serikali ya Kongo Patrick Muyaya ...
msemaji wa jeshi la Malawi almeliambia shirika la habari la AFP Jumamosi (Januari 25). “Tunathibitisha kupoteza askari wetu watatu mashujaa waliokuwa sehemu ya vikosi vya Jumuiya ya Maendeleo ...
Maafisa wa Wizara ya Ulinzi ya Japani wamekuwa wakifuatilia meli ya Jeshi la Wanamaji la Urusi karibu na mikoa ya kusini magharibi ya Miyazaki na Okinawa. Wanasema ilisafiri katika eneo ...
vitengo vya SAF vimepiga kambi katika eneo la Al-Shajara, kusini-magharibi mwa Khartoum, wanapojaribu kusonga mbele huko kaskazini kuelekea katikati ya mji wa Khartoum. "Jeshi linajaribu kufika ...
Tryphon Kin-Kiey Mulumba, mwenyekiti wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga, alisema bado jeshi la Kongo lilikuwa ndilo linaloudhibiti uwanja huo wa ndege. Soma zaidi: M23 yatangaza kujiondoa vijiji ...
Waziri wa Ulinzi wa Israel Israel Katz anasema ameliagiza jeshi la nchi hiyo kuandaa mpango utakaowawezesha wakazi katika Ukanda wa Gaza kuondoka eneo hilo kwa hiari. Katz alitoa maoni hayo jana ...
Vyanzo vya Umoja wa Mataifa vinasema Uganda kupeleka wanajeshi wa ziada kaskazini mwa Goma ni kuunga mkono jeshi la Rais wa Congo Felix Tshisekedi dhidi ya jeshi lingine la waasi. Na Dinah ...
Wanajeshi wawili kutoka Tanzania wameuawa nchini DRC kwa mujibu wa Jeshi la Tanzania. Kwa mujibu wa taarifa iliotumwa kwa vyombo vya habari na Jeshi la Ulinzi la Tanzania , wanajeshi hao ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results